Napangisha nyumba na eneo la ufugaji

Napangisha nyumba na eneo la ufugaji

bongobongo

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
82
Reaction score
30
Eneo jipya lipo karibu na uwanja wa Azam. Kuna nyumba vyumba vi4. Viwili self contained, siting room, Jiko, uwanja mkubwa na mabanda yakufugia kuku hata elf3.Eneo lote limewekewa fence. Kuna kisima kirefu maji masafi muda wote. Matanki 2 ya lita 5000. Nje kuna fremu 1. Umeme upo. Ni barabarani. Anayehitaji ani beep kwa namba 0758838701 au 0784674578
 
Mkuu weka picha na bei yake tafadhali
 
Nipe namba yako nikuwekee picha kwa whatsapp.naona nashindwa kui attach hapa
 
Back
Top Bottom