Hii ni dalili ya kupunguza watu wa mikopo ya elimu ya juu na diploma kwa namna fulani hivi,haiwezekani unaleta mfumo watu wako uliowachagua hawajui kama mfumo ni mpya basi toa mafunzo mwaka mzima sio unatoa mafunzo juju halafu zoezi la kuapply mikopo ni miezi tu