Duu ,hii ulipost saa 21:35...tayari ulikuwa umesha Piz!!!??hilo ni janga! Wahi haraka kwa mganga wa kienyeji ....kwenye kiganja mshauri mganga aangalie tafsiri ya jina lako huenda tatizo limeanzia hapo
Mbona unatuchanganya, mara unaota na mara tena hauoti...which is which au kwa kuwa act ya kupiz inakutokea usingizini basi umeamua kuiita ni ndoto...
Afterall sidhani kama una kasoro yoyote ni mihemko tu