Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,792
- 14,862
Aiseeπ₯΄π₯΄π₯΄
Itakuwa serikali na watu wake waliomo ndani ya hiyo ndege
NimeshindwaTutafsirie hio ndoto...
Kuota ndege inaanguka na kulipuka mara nyingi huashiria hofu kubwa ya kupoteza udhibiti wa mambo yako, hofu ya kushindwa kufikia malengo makubwa, au kukabiliwa na mabadiliko makubwa na ya ghafla katika maisha yako.Inajirudia Kila baada ya muda
Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing
Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu.
Ni zaidi ya mara moja
Sielewi
Ni kweli.nasumbuliwa na hofu ya kushindwa.napambana nayoKuota ndege inaanguka na kulipuka mara nyingi huashiria hofu kubwa ya kupoteza udhibiti wa mambo yako, hofu ya kushindwa kufikia malengo makubwa, au kukabiliwa na mabadiliko makubwa na ya ghafla katika maisha yako.
Kisaikolojia na kiroho, ndoto hii haimaanishi kuwa utapata ajali halisi ya ndege. Badala yake, inaakisi kile kinachoendelea ndani ya akili na hisia zako.
Unaongea kitu halisi au tafsida?Huwa unakwea minazi?
Kitu halisi, yaani kupanda kwenye mnazi na kutungua nazi n.k.Unaongea kitu halisi au tafsida?
Nsije nkajibu kumbe umemaanisha vingine
Hapana.wala sijawahiKitu halisi, yaani kupanda kwenye mnazi na kutungua nazi n.k.
Kaka Mshana Jr nilisubiri comment Yako hapaKuota ndege inaanguka na kulipuka mara nyingi huashiria hofu kubwa ya kupoteza udhibiti wa mambo yako, hofu ya kushindwa kufikia malengo makubwa, au kukabiliwa na mabadiliko makubwa na ya ghafla katika maisha yako.
Kisaikolojia na kiroho, ndoto hii haimaanishi kuwa utapata ajali halisi ya ndege. Badala yake, inaakisi kile kinachoendelea ndani ya akili na hisia zako.
Tafsiri ni nzuri na haina viashiria vya ramli chonganishi.Kuota ndege inaanguka na kulipuka mara nyingi huashiria hofu kubwa ya kupoteza udhibiti wa mambo yako, hofu ya kushindwa kufikia malengo makubwa, au kukabiliwa na mabadiliko makubwa na ya ghafla katika maisha yako.
Kisaikolojia na kiroho, ndoto hii haimaanishi kuwa utapata ajali halisi ya ndege. Badala yake, inaakisi kile kinachoendelea ndani ya akili na hisia zako.
Boss, kama hii ni ndoto inayojirudia, si lazima iwe ishara kwamba ndege halisi itaanguka. Ndoto za aina hii mara nyingi hutafsiriwa kwa alama (symbolism).Inajirudia Kila baada ya muda
Ndege ni kubwa sana ya abiria.kama hizi za mashirika makubwa hizi Boeing
Inapoteza muelekeo na kuangukia kuelekea chini na mlipuko wake mkubwa hauachi kitu.
Ni zaidi ya mara moja
Sielewi
Kwahiyo unataka kuniambia ndoto zangu ni matokeo ya kulala nkiwa full?Usile vyakula vizito usiku kama ugali, pia usiku kula simpo, usipende kushiba shibA.... ama kama huwezi lala masaa mawili walau baada ya kushiba....
Ni serikali hiyoAisee
Asante mkuuBoss, kama hii ni ndoto inayojirudia, si lazima iwe ishara kwamba ndege halisi itaanguka. Ndoto za aina hii mara nyingi hutafsiriwa kwa alama (symbolism).
βοΈ Ndege kubwa ya abiria β inaweza kuwakilisha jambo kubwa maishani: mipango, kazi, safari, matarajio au kundi la watu.
π§ Kupoteza mwelekeo β inaweza kuonyesha hali ya kutokuwa na uhakika, mpango kutokwenda ulivyotarajiwa, au hofu ya kupoteza udhibiti.
β¬οΈ Kuanguka β mara nyingi huashiria hofu ya kushindwa, kupoteza kitu muhimu, au mabadiliko makubwa.
π₯ Mlipuko mkubwa na hakuna kinachobaki β unaweza kuwakilisha hofu kwamba jambo fulani likiharibika, madhara yake yatakuwa makubwa.
π Kujirudia mara kwa mara β huenda kuna jambo linalokusumbua au kukupa hofu mara kwa mara katika maisha yako.
We hayaπNi serikali hiyo