Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,334
- 27,968
Umesema kuna watumishi wa Mungu na mashehe??Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu
Umesema una mke, mwambie awe anakuamsha usiku unammwagia ndo unaendelea na usingizi. Thanks.Namwaga kbs na nachukia maana unaamka umelowana kbs . Lkn pia wkt mwingine unakuwa km mnapapasana mimi sipendi sijui nifanyaje
Jina lako mbona halifanani na ushauri unaotoa.Umesema una mke, mwambie awe anakuamsha usiku unammwagia ndo unaendelea na usingizi. Thanks.
Ogea chumvi kabla ya kulala hizo ndoto zitakataNaamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu
Hujaniwekea namba ya WhatsApp mtumishi nitumie basi.Hilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk
Kwa maelezo zaidi njoo pm
Spending hiyo hali mkuu basi tuIlo ni pepo mazee na kama ni kila siku ila kama ni mara moja moja ni hali tu ya mwili, kama nakuona unavyoteseka linakuja lina kurestrain ufurukuti linajipiga mishindo utaona kabisa unanyonywa denda linajipump ,unamwaga wazungu ukimwaga tu ndo unarudi conscious
Sometimes adi lenyewe linakojoa utahisi kimiminika kimekuchuruzikia ila ukigusa iyo sehem unakuta pakavu ata sperm zako hazijafika. Na ni washenzi hata kiuchumi unayumba
Ukishtuka unachukia sana iyo hali , sasa mi iyo hali nilikuwa nayo kipindi fulani
Nikawa nakadiria muda wake saa tisa hadi kumi kuelekea kukucha nakuwa silali pono basi akija tu najihis mapigo ya moyo yanaenda mbio gafla tu alafu nahis kama kitu kinanizonga kuanzia puani
Basi mi nakausha tu huku nakemea kimoyo moyo kinasepa , akija anakufreez uwezi ongea wala kujitingisha
Sa siku fulani nikahisi uume umeshikwa yani ulishikwa kabisa nikakurupuka chap nilisonya nikatukana nikasema katafute type yako π€ nikasali kidgo nikalala
Zikapita miezi likaniotea nashtuka tu nazihis zinachuruzika na nilipambana sana kujinasua
Hadi sasa imepita muda sijaona iyo hali
Ila nahis bado lipo maana mademu huwa wananikwepa kila apointment lazima ivunjike nikisex dushe linauma kinyama,usiku nashtuka sana ko linanilia tyming
Umeona mkuu. Kuna watu hawako siriazi na matatizo ya wengine ngoja yawakute kwanza. Nibora km Huna cha kuchangia pita tuJina lako mbona halifanani na ushauri unaotoa.
Bilali picha ni uzushiNaamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu
Omba mwenyewe, tatizo watu hatutaki kujifunza principles za maombi....!Uko sawa kbs lkn kupata mtumishi wa kweli kwa leo ni kz naambae atakusaidia ningumu kwa sasa
Hakika unakuwa huna mzuka ata wa kuoa kila mchumba anaepatikana mnapishana pesa hupati hasira kemkem yani she is very messy as f wordKAMA USHAWAH KUSIKIA JINI MAHABA BAS NDO ILO, UKWELI USIOPINGIKA UNA JINI MAHABA NDUGU YETU, NI JINI ALIYEKUPENDA NA KUKUFANYA WEWE NI MPENZI WAKE, ANAKUFATA USIKU KWENYE NJOZI NA KUKUPA PENZI, ATAKUFANYA USIOE WALA KUOLEWA KWA MWANAMKE, NA UZAZI PIA KUWA MGUMU.
Sent from my CMA-LX1 using JamiiForums mobile app
Tulifanyie mpango lisepe linazingua sana sio utani mzee na bora we umeoa kwa asieoa ndo kabisaa ya Mungu anayaonaSpending hiyo hali mkuu basi tu
Du mkuu hii mbona inaonekana ni kweli kabisaIlo ni pepo mazee na kama ni kila siku ila kama ni mara moja moja ni hali tu ya mwili, kama nakuona unavyoteseka linakuja lina kurestrain ufurukuti linajipiga mishindo utaona kabisa unanyonywa denda linajipump ,unamwaga wazungu ukimwaga tu ndo unarudi conscious
Sometimes adi lenyewe linakojoa utahisi kimiminika kimekuchuruzikia ila ukigusa iyo sehem unakuta pakavu ata sperm zako hazijafika. Na ni washenzi hata kiuchumi unayumba
Ukishtuka unachukia sana iyo hali , sasa mi iyo hali nilikuwa nayo kipindi fulani
Nikawa nakadiria muda wake saa tisa hadi kumi kuelekea kukucha nakuwa silali pono basi akija tu najihis mapigo ya moyo yanaenda mbio gafla tu alafu nahis kama kitu kinanizonga kuanzia puani
Basi mi nakausha tu huku nakemea kimoyo moyo kinasepa , akija anakufreez uwezi ongea wala kujitingisha
Sa siku fulani nikahisi uume umeshikwa yani ulishikwa kabisa nikakurupuka chap nilisonya nikatukana nikasema katafute type yako [emoji2960] nikasali kidgo nikalala