proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,348 Reaction score 11,228 May 28, 2023 #21 ni mambo ya kawaida tu wala usiwaze sana na wasikutishe. Pia ndoto ni mzunguko wa mambo ambayo yameshstokea kwa hio itaisha tu cha msingi ujaribu kumsahau huwa unamwazana sana ndio maana akili haipumui
ni mambo ya kawaida tu wala usiwaze sana na wasikutishe. Pia ndoto ni mzunguko wa mambo ambayo yameshstokea kwa hio itaisha tu cha msingi ujaribu kumsahau huwa unamwazana sana ndio maana akili haipumui
mwemweremwemwere JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 605 Reaction score 680 May 28, 2023 #22 kama hujazulumu uhai wake hayo yote yatakwisha baada ya muda tu ila nje ya apo hesabu maumivu.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,583 May 28, 2023 #23 Mzee Saliboko said: Hiyo afadhali ndugu yangu anaota anashughulikiwa nyuma ni wakiume na anahistoria ya kukaa gerezani...kaniomba ushauri Click to expand... Ukisikia popo bawa ndio huyo, waone wachungaji au masheikh wakumalizie hiyo shida.
Mzee Saliboko said: Hiyo afadhali ndugu yangu anaota anashughulikiwa nyuma ni wakiume na anahistoria ya kukaa gerezani...kaniomba ushauri Click to expand... Ukisikia popo bawa ndio huyo, waone wachungaji au masheikh wakumalizie hiyo shida.
Paradoxer Senior Member Joined Apr 6, 2017 Posts 120 Reaction score 209 May 28, 2023 #24 Roho ile ya mauti (siyo yeye) ndio inayokujia, muombe Mungu sana pia mshirikishe mchungaji wako akusaidie kuomba.
Roho ile ya mauti (siyo yeye) ndio inayokujia, muombe Mungu sana pia mshirikishe mchungaji wako akusaidie kuomba.
Jugado JF-Expert Member Joined Oct 28, 2021 Posts 1,446 Reaction score 3,192 May 28, 2023 Thread starter #25 Japkas said: Wasiwasi wako tu. Asilimia kubwa ndoto ni flashback ya mambo yako yaliyopita iwe uliwaza, kuyafanya, au kufanyiwa Click to expand... Asante
Japkas said: Wasiwasi wako tu. Asilimia kubwa ndoto ni flashback ya mambo yako yaliyopita iwe uliwaza, kuyafanya, au kufanyiwa Click to expand... Asante
Jugado JF-Expert Member Joined Oct 28, 2021 Posts 1,446 Reaction score 3,192 May 28, 2023 Thread starter #26 Paradoxer said: Roho ile ya mauti (siyo yeye) ndio inayokujia, muombe Mungu sana pia mshirikishe mchungaji wako akusaidie kuomba. Click to expand... Asante
Paradoxer said: Roho ile ya mauti (siyo yeye) ndio inayokujia, muombe Mungu sana pia mshirikishe mchungaji wako akusaidie kuomba. Click to expand... Asante
Japkas JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 4,051 Reaction score 6,473 May 28, 2023 #27 Jugador_2023 said: Asante Click to expand... Lala usingizi mzuri usijisumbue na ndoto, hakuna jambo baya linalokuja mbele yako
Jugador_2023 said: Asante Click to expand... Lala usingizi mzuri usijisumbue na ndoto, hakuna jambo baya linalokuja mbele yako
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,701 May 28, 2023 #28 Jugador_2023 said: Marehemu hana mke wala mtoto na katika maisha yake akiwa hai mimi nilikua tegemezi wake na nilijitahidi Kwa Kila kitu. Click to expand... Tumia chumvi ya mawe kila siku kwa kuiogea na kuichoma. Hutokaa utokewe na maluwe luwe hayo ila sema kila ndoto ina maana yake. Tafuta wakina Yusufu wakutafsirie
Jugador_2023 said: Marehemu hana mke wala mtoto na katika maisha yake akiwa hai mimi nilikua tegemezi wake na nilijitahidi Kwa Kila kitu. Click to expand... Tumia chumvi ya mawe kila siku kwa kuiogea na kuichoma. Hutokaa utokewe na maluwe luwe hayo ila sema kila ndoto ina maana yake. Tafuta wakina Yusufu wakutafsirie