Sijui mnapata wapi mda wa kuchokonoa uji.nga ka huu. Mambo ya uvunguni mnayaleta huku badala ya kutuonesha yanayojiri huko Dodoma baada ya msaliti kutupwa nje??
Huyo mama ka anakitaka kiti chake aangalie. Hakuna aliyejigusa na huyo kirusi akapona. CDM haimuogopi mtu, inaogopa kirusi, tutakiondoa so fast hakitajua kilipo angukiwa
Kwa raha zao...