Naona watu wanaji isolate

Kinga ni bora kuliko tiba.
 
Tujilock down wenyewe papa mopao anaweza hata kutupa zawadi kwa kutekeleza wajibu bila shurti.
 
Waswahili walisema, asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu.

Sisi hatukutaka kujifunza kwa waliotutangulia kupata huu ugonjwa, sasa tunafunzwa na kirusi chenyewe.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kirusi kina tulockdown wakuu kama utani vile kumbe ndio tunaisha mdog mdog
 
Huku hata mawasiliano na watu yamepungua 90%
Wamebaki wanaokujali tu wengine wamefutika kabisa
Lockdown imefanya tujuane wapenda story na wanaokujali kwa dhati
Haya yote yanayotukuta huku kwenu bado ni ndoto


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…