Naona sasa tunazalisha Taifa la watetea watenda makosa!

Upo sahihi sana hii nchi imekuwa ya maamuzi ya ajabu, angalia hata kesi za wahujumu uchumi waliokuwa rumande yaaan mtu anatokea tu anasema wanaonewa mara sijui nn hakuna jema Wala baya kwake.

Kange lugola alikutwa na kosa gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watenda uovu na wapalilia uovu manafahamika, ila mnatambia nguvu ya madaraka.
Waitara kaanza kufunguka,lijuakali anaanza kufunguka wskielekea kwenye drama ya ben saanane hapo utamjua kama Mbowe muovu japo hana dola!
 
Juzi Msigwa kakanusha uzishi wake kuhusu kinana hata shonza pia aliwahi kanusha kuwa ridhiwani hakuwahi kamatwa china hata hio ys kununua watu umekaririshwa jamaa wapo kazini!
 
Tusubiri tuone kacheka picha ya Magufuli au ya raisi!
 
Eti mchekeshaji, sijui nani anamdanganya huyo kiazi eti anachekesha, sijawai kufurahishwa na comedi yake hata 1,wamweke huko huko mpk akome kiazi sana.
Kabisa mwendo wa kiarabu fimbo mjeledi dawa ya homa shuburi wataelewa tu!
 
Kiongozi gani kaboronga halafu katetewa!
Sitowataja mjina... si wabunge wa chama tawala wala wa upinzan.
Including speaker mwenyewe ..bunge limekuwa la hovyo kabisa. Wanafanya mabunge ya huko nyuma yaonekane mazuri.
Pili baadhi mawaziri.. wamekuwa wakiongea trash muda mwingine ..cha kushangaza kwa sababu ni wa chama fulani lazima atetewe sana. Hatakama ameongea kitu cha kijinga.
Ni mwe mwendo wa kutetea viongoz hata wakifanya ujinga.
 
Maoni mazuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…