Naona sasa tunazalisha Taifa la watetea watenda makosa!

MtuloBM

Member
Feb 26, 2020
16
45
Upo sahihi sana hii nchi imekuwa ya maamuzi ya ajabu, angalia hata kesi za wahujumu uchumi waliokuwa rumande yaaan mtu anatokea tu anasema wanaonewa mara sijui nn hakuna jema Wala baya kwake.
Kange lugola alikutwa na kosa gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
7,557
2,000
Watenda uovu na wapalilia uovu manafahamika, ila mnatambia nguvu ya madaraka.
Waitara kaanza kufunguka,lijuakali anaanza kufunguka wskielekea kwenye drama ya ben saanane hapo utamjua kama Mbowe muovu japo hana dola!
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
7,557
2,000
Mkuu

Kuna Kiongozi alivamia clouds na bunduki na CCTV footage zilionyesha tukio

Kuna Kiongozi manyara alikuwa akiwa nunua watu wajiunge na ccm na ushahidi wa video clip ulikuwepo

Hawa wote wamechukuliwa hatua gani?????

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Juzi Msigwa kakanusha uzishi wake kuhusu kinana hata shonza pia aliwahi kanusha kuwa ridhiwani hakuwahi kamatwa china hata hio ys kununua watu umekaririshwa jamaa wapo kazini!
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
7,557
2,000
Kavunja sheria ipi?

Kacheka picha ya rais unaweza thibitisha ile ni picha ya Rais( mali ya jamhuri) au ni picha ya Magufuli
Mna uhakika wakati anacheka mbele ikiwepo hiyo picha alimaanisha kuidharau?

Mtu kucheka picha ni kosa?
Vipi mtu akiicheka noti ya fedha ya Tz ambayo ni mali ya jamhuri atakuwa amevunja sheria ya usalama wa Taifa 1970?

Mbona hashtakiwi?
Tusubiri tuone kacheka picha ya Magufuli au ya raisi!
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
7,557
2,000
Eti mchekeshaji, sijui nani anamdanganya huyo kiazi eti anachekesha, sijawai kufurahishwa na comedi yake hata 1,wamweke huko huko mpk akome kiazi sana.
Kabisa mwendo wa kiarabu fimbo mjeledi dawa ya homa shuburi wataelewa tu!
 

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
10,925
2,000
Kiongozi gani kaboronga halafu katetewa!
Sitowataja mjina... si wabunge wa chama tawala wala wa upinzan.
Including speaker mwenyewe ..bunge limekuwa la hovyo kabisa. Wanafanya mabunge ya huko nyuma yaonekane mazuri.
Pili baadhi mawaziri.. wamekuwa wakiongea trash muda mwingine ..cha kushangaza kwa sababu ni wa chama fulani lazima atetewe sana. Hatakama ameongea kitu cha kijinga.
Ni mwe mwendo wa kutetea viongoz hata wakifanya ujinga.
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
7,557
2,000
Sitowataja mjina... si wabunge wa chama tawala wala wa upinzan.
Including speaker mwenyewe ..bunge limekuwa la hovyo kabisa. Wanafanya mabunge ya huko nyuma yaonekane mazuri.
Pili baadhi mawaziri.. wamekuwa wakiongea trash muda mwingine ..cha kushangaza kwa sababu ni wa chama fulani lazima atetewe sana. Hatakama ameongea kitu cha kijinga.
Ni mwe mwendo wa kutetea viongoz hata wakifanya ujinga.
Maoni mazuri sana!
 
Top Bottom