Naona sasa tunazalisha Taifa la watetea watenda makosa!

Hatari ni ya kuwekea sumu kama zitto au yakukute ya chacha wangwe al maruhumu!

Zito yupo hai, angefungua mashtaka ya hilo. Hilo la Chacha Wangwe kesi iliendeshwa kwenye mahakama za hapa hapa nchini, ungeenda kutoa ushahidi tofauti na uliotolewa. Hili la Chacha Wangwe mmejaribu kulitumia kisiasa kuichafua cdm kwakuwa kafa, na mbinu hiyo ilikuwa itumike kuichafua cdm iwapo Lisu angefariki kwenye lile shambulio. Bahati nzuri Lisu yuko hai na ananyoosha maelezo, na wengi sana tunamuelewa.
 
Jibu sumu kwa mleta uzushi huyo mwana uvccm

In God we Trust
 
Zito yupo hai, angefungua mashtaka ya hilo. Hilo la Chacha Wangwe kesi iliendeshwa kwenye mahakama za hapa hapa nchini, ungeenda kutoa ushahidi tofauti na uliotolewa. Hili la Chacha Wangwe mmejaribu kulitumia kisiasa kuichafua cdm kwakuwa kafa, na mbinu hiyo ilikuwa itumike kuichafua cdm iwapo Lisu angefariki kwenye lile shambulio. Bahati nzuri Lisu yuko hai na ananyoosha maelezo, na wengi sana tunamuelewa.
Ungejua nini kinaendelea juu ya fadhila ya vice-chairman wala usingesema juu ya lissu!
 
Back
Top Bottom