Naona sasa tunazalisha Taifa la watetea watenda makosa!

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
7,557
2,000
Naona hii tabia ya kutetea wanaokosea na zikichukuliwa hatua stahili.,
Wapo mapuruzai kibao wanajitokeza kutetea utopolo wa huyo mkosaji.

Tumeshuhudia hapa mafisadi, watakatisha pesa, wauza madawa, yule mwandishi wote hawa walipata watetezi kwa makusudi kwa makusudi kutaka kuonyesha kama wanamkomoa mtu kumbe wanazidi kuchochea moto

Hivi sasa kuna mmoja kafanya kosa la kucheka picha ya Rais bado kuna watu badala ya kujaribu kutoa rai kumshauri kijana asirudie makosa, kuna watu wanataka kufanya kama hakufanya kosa

Kama hakudhamiria kwanini hakuchukua picha ya mzazi wake wa kike au kiume akaanza kucheka. lakini kwa kuchukua picha na kuanza kuidhihaki hapo ametumbukiza mguu wenye kiatu kwenye sufuria la ubwabwa lazima awatambue wenye shughuli ili kesho asirudie tena afunzwe sana!

Mtoto hakanywi akienda hukanywa akisharudi wakati yameshamkuta ya kumkuta!

Bakora haichagui pa kutua kwa mtoto mtukutu!
 

Noti bandia

Senior Member
May 3, 2020
148
250
Hao ni watuhumiwa, mtuhumiwa yoyote ni innocent mpaka mahakama ithibitishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok kama ni watuhumiwa huwa hauoni watu wanaanza kureact kuwa hawa watu wako innocent. Tatizo wako wapingaji tu na wakuunga mkono tu. Hatuna uwezo wakulifikiria jambo na kulikubali au kulikataa kimantik. Angalia vyama vya upinzani wao ni kupinga tuu, angalia waunga juhudi wao ni kusifu tuuu
 

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
1,841
2,000
Ok km ni watuhumiwa huwa hauoni watu wanaanza kureact kuwa hawa watu wako innocent. Tatzo wako wapingaji tu na wakuunga mkono tu. Hatunauwezo wakulifikiria jambo na kulikubali au kulikataa kimantik. Angalia vyama vya upinzani wao ni kupinga tuu, angalia waunga juhudi wao ni kusifu tuuu
Kumtetea mtuhumiwa kwani ni kosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
29,083
2,000
Upo sahihi sana hii nchi imekuwa ya maamuzi ya ajabu, angalia hata kesi za wahujumu uchumi waliokuwa rumande yaaan mtu anatokea tu anasema wanaonewa mara sijui nn hakuna jema Wala baya kwake.
Mkuu twende pamoja hapo pa kuonewa. Rugemalila na Seth wako ndani mpaka leo, je watu walioshirikiana nao toka ccm/ serikalini mbona hawapo ndani kama sio uonevu?
 
Top Bottom