malisak Platinum Member Joined Mar 16, 2006 Posts 739 Reaction score 853 Jun 7, 2016 #1 Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh!
Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh!
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,199 Jun 7, 2016 #2 malisak said: Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh! Click to expand... pole mkongwe mwenzangu
malisak said: Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh! Click to expand... pole mkongwe mwenzangu
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,589 Reaction score 28,754 Jun 7, 2016 #3 malisak said: Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh! Click to expand... Karibu sana kwa upya. Kuna mtu humu aliwahi kukuulizia kule MMU, nikimkumbuka nitamtag huku akuone umekuja upya
malisak said: Wazima jamani, mie mwanachama wa zamani humu naona mazingira yananizingua vibaya, forum imekuwa ya kisasa sielewi nazunguka muda mrefu duuh! Click to expand... Karibu sana kwa upya. Kuna mtu humu aliwahi kukuulizia kule MMU, nikimkumbuka nitamtag huku akuone umekuja upya
Pierreeppah JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 1,563 Reaction score 1,989 Jun 7, 2016 #4 Anzia ulikoishia
malisak Platinum Member Joined Mar 16, 2006 Posts 739 Reaction score 853 Jun 7, 2016 Thread starter #5 asigwa said: Karibu sana kwa upya. Kuna mtu humu aliwahi kukuulizia kule MMU, nikimkumbuka nitamtag huku akuone umekuja upya Click to expand... ahahahahaaa haya mwite uzee huu jamani
asigwa said: Karibu sana kwa upya. Kuna mtu humu aliwahi kukuulizia kule MMU, nikimkumbuka nitamtag huku akuone umekuja upya Click to expand... ahahahahaaa haya mwite uzee huu jamani
malisak Platinum Member Joined Mar 16, 2006 Posts 739 Reaction score 853 Jun 7, 2016 Thread starter #6 CHIKIRA MTABARI said: pole mkongwe mwenzangu Click to expand... mamaaaa nafwaaaaa, haya mtanijuza polepole ngoja nifanye ziara na mkongojo wangu
CHIKIRA MTABARI said: pole mkongwe mwenzangu Click to expand... mamaaaa nafwaaaaa, haya mtanijuza polepole ngoja nifanye ziara na mkongojo wangu
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,199 Jun 7, 2016 #7 malisak said: mamaaaa nafwaaaaa, haya mtanijuza polepole ngoja nifanye ziara na mkongojo wangu Click to expand... hahahahahahahahahahaha😀
malisak said: mamaaaa nafwaaaaa, haya mtanijuza polepole ngoja nifanye ziara na mkongojo wangu Click to expand... hahahahahahahahahahaha😀
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,606 Jun 7, 2016 #8 Utabadilika tu taratibu na kuwa new version
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,859 Reaction score 13,838 Jun 8, 2016 #9 karibu sana JF mjukuu wetu............