Kweli kabisa IPO karibu sana na imetabiriwa toka huko nyumaWW3 haiko mbali
Ngoja tumalize STIGLER'S wataomba poo wenyewe
na waganga huko iringa walitest yao ikabuma hahahaha
hahahahahaha sasa kipi ni cheo au ngazi ya juu zaidi kitaalamu? anaanza muuguzi, mganga, mganga mkuu/ bingwa na mwisho mwanga ? au nimekosea ?WALE WA IRINGA NI WANGA SIYO WAGANGA!!!!!
hahahahahaha sasa kipi ni cheo au ngazi ya juu zaidi kitaalamu? anaanza muuguzi, mganga, mganga mkuu/ bingwa na mwisho mwanga ? au nimekosea ?