Jichange nawewe kama Mtoa Mada upate hiyo nusu.Katika hiyo 47 naombanipatie nusu ya hiyo 7 ya mbele nikamilishe ka ada mkuu.. mkopo ulitupiga chenga
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Upo sahihi, si kibongo tuu, ila gari za 2013 bd zimesimamaHuyo mnyama hapo juu TRA tu inakiwa Tsh.32.5mil,si mchezo though prado sijawahi kuzipenda.
Kwa 47 mil hapo unapata landcruiser vx v8(100 series),ila shida ukitaka magari ya miaka ya karibuni hapo ndipo shughuli ni pevu mkuu
Hata Landrover discovery 3 unapata mkuu.
Nb:Kibongo bongo hata gari za 2013 ni latest kabisaaa.
Daah kweli mkuu,vitu hata shape yake tu ukiiona unajua latest hii bila kutaka maelezo Mengi.Upo sahihi, si kibongo tuu, ila gari za 2013 bd zimesimamaView attachment 1020633View attachment 1020634View attachment 1020636
Upo sahihi, si kibongo tuu, ila gari za 2013 bd zimesimamaView attachment 1020633View attachment 1020634View attachment 1020636
Mi nikushauri kitu mkuu
Nilichokuja kugundua ndoto zetu za kununua magari ya ndoto mara nyingi hufifishwa na ushuru.
Mimk nilivunja ukimya na kutimiza ndoto ya kumiliki ndinga langu kwa njia hii nyepesi sana
Cha kwanza usitishwe na calculator ya TRA, kuna alternative ya ku appeal kwa kumuandikia kamishna barua na kuomba azingatie Invoice price badala ya calculator. Hapa kama ulinunua kwa CIF lets say USD 10,000 utajikuta umelipa kodi ya karibu m19 au mil 22 tu of which naona imo ndani ya bajeti yako.
Japo majibu yanaweza kuchelewa ya appeal ila kama ni mzuri wa kuloby haikuchukui siku 4 utakua ushamaliza kazi hao unaokoa karibu mil 10 nzima
Kwa ushuhuda tu niliagiza gari yenye ushuru wa mil 33 lakini nilifanikiwa kulipa 19 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss ni km unavyoona hapooMkuu hizi pic mbili za mwisho unaweza nambia model ya gari niigoogle?
Nilipenda prado kutokana na sifa tajwa nilizosema...je hizi gari zinazo hizo sifa pia?
Thanks in advance.
Boss ni km unavyoona hapooView attachment 1020785
sasa mzee kuna chuma inaitwa HAVAL H9 Hembu icheki now utaniambiaaa, hizi bongo zipoo japo ni chache ila ni mashineee, wakat nakutajia hizo hii ndio nilikua namaanisha nikajichanganya nilijua ndio hii kumbe zinafanana muonekanoo, ichek now uniambieMkuu Nimetafuta sana hizi option mbili ulizonishauri lakini sijazipata;
1. Hiyo Nissan PathFinder sijaiona kabisa kwenye tradeCarView ili kuiagiza
2. Na Hii hyundai Santa Fe zote nazozipata kwenye tradecarview ni LHD ampapo inakinzana na gari zinazoruhusiwa hapa Bongo...pia na mazoea.
Labda unauzoefu wa kutatua hizi changamoto pls?
Kama una hela ya mawazo Porsche Cayyene itakupasua utumbo.Wakuu, mwenzenu bado sijafanikiwa kupata gari nzuri ya kunikosha ambayo ni
- Economy (fuel consuption nzuri na spare parts si gharama),
- Confortable,
- Attractive,
- Unique,
- Stand out on its own (Yaani sio la kulinganishwa linganishwa)
- Family car (preferable 7 seater)
- Modern and stylish
- Iwe na Mwendo (Dar Kigoma isnipe mawazo)
Napenda gari iwe na clearence ya kutosha kwa chini na iwe imeenda hewani...sio nikisimama naiona hadi top roof yake......tayari nanayo baby walker hivyo natafuta kitu ya heshima zaidi kwa sasa....
Nimefikiria hizi hapa;
1. Porsche Cayenne
Sijui ulaji wake wa mafuta na spare sijui ka zipo sana Bongo...ila kwa ndani naona kitu imetulia....please mwenye ujuzi nayo nipatie info;
View attachment 1094532
View attachment 1094534
View attachment 1094535
2. Toyota Harrier
Wenyewe mnaita tako la nyani...japo mie sio mjuvi wa hizi models nashindwa kuiona tofauti ya hizi harriers hivo naweza ingizwa king. But please to share your experience on this car
View attachment 1094536
View attachment 1094537
3. Subaru Impreza AWD
Subari kiujumla sizijui kabisaaa, hivyo mwenye experience nazo, ntashukuru sana ukimwaga some details.
View attachment 1094546
View attachment 1094549View attachment 1094550
Mengi au mengi?Daah kweli mkuu,vitu hata shape yake tu ukiiona unajua latest hii bila kutaka maelezo Mengi.
Machache.Mengi au mengi?