Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,185
- 8,453
tulia mzee juzi usiku walitaka kuingia gaza baada ya kusikia milio ya risasi ikitokea gaza ndipo wakaita air cover ambapo zilikua f 15 bado wakaogopa kuhusu roketi ambo ndo usiseme iron dome kwa kila shambulio la hamas lazima liwe na maumiv muda mfupi ulipita kafa mtu huko tel aviv anachofanya israel kwa sasa ni kubomoa majengo tu ili hamas waache kurusha roket hivyo vifaru tuliaminishwa vinauwezo wa kujirinda lakini hezbullah walichapa kama kawaIsrael anaogopa lawama wala sio ground battle. Vile vifaru vyake vya Merkava IV vina active protecting system ya Trophy vikiingia mtaani kule Gaza havipati madhara mengi kama vifaru vingine. Mwaka 2014 Israel iliingia Gaza na kuua watu zaidi ya 1000.
Hamas inahifadhi silaha shuleni, hospitalini, sokoni sasa hapo unategemea kusiwepo na collateral damage endapo Israel itashambulia.
Hezbollah ndio wako professional wao silaha ni kwenye andaki tu wakisanukia wamegundulika wanazihamisha.
Israel ashaandaa army yake muda wowote akiona inamlazimu ataingia Gaza na kubeba lawama. Hamas haiwezi kupigana kwa njia yoyote, maroketi yanazuiliwa angani sembuse kurushiana risasi na troops waliovaa helmets, body armour na wenye silaha nzito