Naona Habari za Israel ndio trending kwa sasa kwenye jukwaa hili

Usichukulie vita ya uhalisia sawa na vita ya Rambo anayeua Wavietnam mia mbili single handed alafu hachubuki hata kidole. Vita ya uhalisia ni kama mechi ya mpira, ukileta Manchester City icheze na Nachingwea FC usitegemee eti Man City kisa ni mabingwa watatawala 100% ya mchezo. Wanaweza fungwa hata goli moja ila wakafunga zaidi ya 10.

Israel hawezi shindwa vita na Hamas labda ukitumia mahaba badala ya uhalisia. Hamas anafyatua mamia ya roketi na kuua watu chini ya 10. Roketi zinazuiliwa na Iron Dome zaidi ya 90% wewe unashangilia less than 10% zilizopenya.

Hamas mwenyewe anashambulia akitokea sokoni, shuleni, hospitali, makazini. Sasa kama yuko makazini apigiwe wapi? Porini au. Wasiwasi wa Israel ni lawama, sio hao Hamas. Israel ikijitoa ufahamu na huruma kwa raia tutailaumu sana.

Hivyo vifaru bado tunakuja palepale kwenye mahaba. Nani kakwambia kuna kifaru duniani kiko immortal? Ukute unazungumzia kifaru kimoja tu cha Israel kilichopigwa na Hezbollah ile 2006. Kasome major tank losses kwenye battles kama Valley of Death, Valley of Tears, Battle of Kursk na Operations kama Barbarossa. Kuna battle mnapoteza vifaru zaidi ya 100 kwa siku na vita inaendelea
sasa we unashangaaje israel kumpiga hamas wakati ana kila aina ya silaha na hamas hana huo uwezo hata wakuzipata kadhibitiwa kila kona hata hizi sijui zimepitaje
 
Palestina imegawanyika sehem 2,west Bank na Gaza..
Westbank wao wana jeshi la polisi tu, na jeshi ilo la polisi lina makubaliano ya kikazi na IDF. uko Gaza wao wana Hammas, na ndo vurugu zilipo coz Hammas hawana makubaliano yoyote na IDF.

Wakati Gaza ikiitambua Hammas kama jeshi la ulinzi, Israel wanawatambua Hammas kama kundi la kigaidi.

Westbank ni kama vile wao wameshajisalimisha kwa wazayuni, hakuna vurugu kule.
 
Ni kuwakumbusha tu Israel anapambana na kikundi kidogo sana cha watu wasiojiweza kabisa , si jambo la kushangiria shangilieni pale tu atapojichanganya kwa taifa kama Syria , Lebanon alafu hakuna nchi kuingilia wala umoja wa mataifa kuingilia kati uone kitachotokea dunia itasimama kwa muda , mara kibao tumeona chokochoko za Hizbullah kwa Israel lakini husikii akijibu mashambulizi kwani anajua mziki wake lakini huyu bingwa anawaonea watu wahajiwezi hata alafu naona watu mkiwatukuza sana sasa siku ajichanganye aingie huko tuone mziki wake, Iran wala hasiwafikirie maana ndio taifa teule litakuwa mwisho wake hapa Duniani. Acheni kuitukuza sana Israel haiko ivyo mnataka iwe naamini hata akisimama tu Tanzania full scale war hakuna kuingilia anakalishwa mapema tu Israel is nothing without US na washirika wake
Utawadanganya wavivu Ku Google na kujua ukweli wa mambo!
 
Mbona wasitume jeshi lao likawasaidie?
Kwamba Israel wajinga sana hawajajipanga?
 
Bwana wee tuletee the Six Days War kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Usichukulie vita ya uhalisia sawa na vita ya Rambo anayeua Wavietnam mia mbili single handed alafu hachubuki hata kidole. Vita ya uhalisia ni kama mechi ya mpira, ukileta Manchester City icheze na Nachingwea FC usitegemee eti Man City kisa ni mabingwa watatawala 100% ya mchezo. Wanaweza fungwa hata goli moja ila wakafunga zaidi ya 10.

Israel hawezi shindwa vita na Hamas labda ukitumia mahaba badala ya uhalisia. Hamas anafyatua mamia ya roketi na kuua watu chini ya 10. Roketi zinazuiliwa na Iron Dome zaidi ya 90% wewe unashangilia less than 10% zilizopenya.

Hamas mwenyewe anashambulia akitokea sokoni, shuleni, hospitali, makazini. Sasa kama yuko makazini apigiwe wapi? Porini au. Wasiwasi wa Israel ni lawama, sio hao Hamas. Israel ikijitoa ufahamu na huruma kwa raia tutailaumu sana.

Hivyo vifaru bado tunakuja palepale kwenye mahaba. Nani kakwambia kuna kifaru duniani kiko immortal? Ukute unazungumzia kifaru kimoja tu cha Israel kilichopigwa na Hezbollah ile 2006. Kasome major tank losses kwenye battles kama Valley of Death, Valley of Tears, Battle of Kursk na Operations kama Barbarossa. Kuna battle mnapoteza vifaru zaidi ya 100 kwa siku na vita inaendelea
ha ha ha ha kwani
hiyo gaza ilikuwa chini ya nani miaka ya nyuma bila shaka ni israel lakini leo hii gaza ipo chini ya hamas je hamas walipewa gaza bure bure mjomba kuhusu iron dome wewe mwenyewe ni shahidi kila roketi zikirushwa lazima ziuwe mtu na kuleta uwaribif tena sio mdogo na kwa taarifa yako hamas wameuteka mji wa nubles huko ukingo wa magharib hii imetokea leo na wamekufa watu 2
img_3_1621092280423.jpg
 
ha ha ha ha kwani
hiyo gaza ilikuwa chini ya nani miaka ya nyuma bila shaka ni israel lakini leo hii gaza ipo chini ya hamas je hamas walipewa gaza bure bure mjomba kuhusu iron dome wewe mwenyewe ni shahidi kila roketi zikirushwa lazima ziuwe mtu na kuleta uwaribif tena sio mdogo na kwa taarifa yako hamas wameuteka mji wa nubles huko ukingo wa magharib hii imetokea leo na wamekufa watu 2View attachment 1786411

Hebu acha kuleta masikhara wakati wewe hata kushika pistol tu huwezi! Watu wanalia kule na maisha yamerudishwa almost to zero na wewe unaleta usharobaro wako hapa JF,kama wewe ni Mwanaume kweli(yes I mean it Mwanaume) nenda frontline na siyo kutuletea maneno mengi kumbe mtu mwenyewe hata push ups ten huwezi.
 
sasa we unashangaaje israel kumpiga hamas wakati ana kila aina ya silaha na hamas hana huo uwezo hata wakuzipata kadhibitiwa kila kona hata hizi sijui zimepitaje
Hakuna nilikoshangaa, Hamas amezuiliwa kununua silaha kwa vile ni rogue militia hata mamlaka ya Palestina haiitambui Hamas kama jeshi lake. Hamas kimataifa inatambulika kama kundi la kigaidi. Wapi duniani ushaona kundi lolote la kigaidi linauziwa silaha kwenye market, al Qaeda, al Shabaab, Boko Haram au nani.

Kuna nchi kama Iran, North Korea na Libya haziuziwi silaha sembuse Hamas. Kupita zinapitia black market na magendo mengine hasa kutokea Iran.

Hamas hana silaha za kuipiga Israel tuache kujifariji
 
ha ha ha ha kwani
hiyo gaza ilikuwa chini ya nani miaka ya nyuma bila shaka ni israel lakini leo hii gaza ipo chini ya hamas je hamas walipewa gaza bure bure mjomba kuhusu iron dome wewe mwenyewe ni shahidi kila roketi zikirushwa lazima ziuwe mtu na kuleta uwaribif tena sio mdogo na kwa taarifa yako hamas wameuteka mji wa nubles huko ukingo wa magharib hii imetokea leo na wamekufa watu 2View attachment 1786411
Gaza iweje sehemu ya Israel kwani kaivamia?
Anaenda kule kama wakileta shida ndio anaenda kuwapigia kwenye shule na ofisi za mashirika ya kimataifa hizo walizojificha. Israel haijawahi kuwa na claims juu ya West Bank au Gaza. Ambako ina claims ilipavamia na kupachukua na kimataifa haikubaliki
 
Hakuna nilikoshangaa, Hamas amezuiliwa kununua silaha kwa vile ni rogue militia hata mamlaka ya Palestina haiitambui Hamas kama jeshi lake. Hamas kimataifa inatambulika kama kundi la kigaidi. Wapi duniani ushaona kundi lolote la kigaidi linauziwa silaha kwenye market, al Qaeda, al Shabaab, Boko Haram au nani.

Kuna nchi kama Iran, North Korea na Libya haziuziwi silaha sembuse Hamas. Kupita zinapitia black market na magendo mengine hasa kutokea Iran.

Hamas hana silaha za kuipiga Israel tuache kujifariji
sio tu hamas hata hio serekali ya palestina silaha haina kiufupi wanaonewa tu hawana mamlaka yoyote
 
Back
Top Bottom