Naona Habari za Israel ndio trending kwa sasa kwenye jukwaa hili

Israel anaogopa lawama wala sio ground battle. Vile vifaru vyake vya Merkava IV vina active protecting system ya Trophy vikiingia mtaani kule Gaza havipati madhara mengi kama vifaru vingine. Mwaka 2014 Israel iliingia Gaza na kuua watu zaidi ya 1000.

Hamas inahifadhi silaha shuleni, hospitalini, sokoni sasa hapo unategemea kusiwepo na collateral damage endapo Israel itashambulia.
Hezbollah ndio wako professional wao silaha ni kwenye andaki tu wakisanukia wamegundulika wanazihamisha.

Israel ashaandaa army yake muda wowote akiona inamlazimu ataingia Gaza na kubeba lawama. Hamas haiwezi kupigana kwa njia yoyote, maroketi yanazuiliwa angani sembuse kurushiana risasi na troops waliovaa helmets, body armour na wenye silaha nzito
tulia mzee juzi usiku walitaka kuingia gaza baada ya kusikia milio ya risasi ikitokea gaza ndipo wakaita air cover ambapo zilikua f 15 bado wakaogopa kuhusu roketi ambo ndo usiseme iron dome kwa kila shambulio la hamas lazima liwe na maumiv muda mfupi ulipita kafa mtu huko tel aviv anachofanya israel kwa sasa ni kubomoa majengo tu ili hamas waache kurusha roket hivyo vifaru tuliaminishwa vinauwezo wa kujirinda lakini hezbullah walichapa kama kawa
 
Dogo hebu nipe wapi wamekiri walikuwa kwenye hayo maeneo. Usiwe unaongea pumba hapa.
Ni kweli fuatilia habari utagundua, halafu kwa nini unaita "dogo" Au jisomee hapo kwenye link
 
Free Palestine
Screenshot_20210515-171835_Instagram.jpg
 
Ninacho amini watu wa mudy hawanaga akili,ni wajinga wajinga tu.
hivi wewe ushawahi kuona Muislamu kamkashifu yesu humu jf kwenye hili jukwaa , embu tumia akili na busara y always nyie mnapenda kutukana wenzenu
 
Mimi ndio nabaki kushangaa tu hapa

Jeshi la nchi linapigana na kikundi cha wanamgambo ivi hii ni akili au matope
 
Amka kutoka usingizini, Hamas wenyewe wanakiri baadhi ya viongozi wao wameuawa. Hamas wamejificha kwenye mahandaki na kati kati ya raia hivyo kuwapata lazima baadhi ya madhara kutokea. Hao majeshi ilikuwa kuwahadaa waingie kwenye mahandaki ndio maana jana Israel alishambulia maeneo kama 150 ambapo kunakisiwa kuwa na mahandaki. Pia mashambulizi ya anga huanza na vikosi vya ardhini ni kumalizia masalia.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Tuendelee kuongopeana

Nachojua humu hakuna mkweli kwa pande zote israel na palestina
 
Sasa Mbona mmeshindwa kuifuta kwenye ramani ya dunia hata allah tu jamani anashindwa?
Unashangaa wameshindwa kuifuta israel badala ya kushangaa hata hao israel wameshindwa kuifuta palestina tena ilo jimbo la gaza......
 
tulia mzee juzi usiku walitaka kuingia gaza baada ya kusikia milio ya risasi ikitokea gaza ndipo wakaita air cover ambapo zilikua f 15 bado wakaogopa kuhusu roketi ambo ndo usiseme iron dome kwa kila shambulio la hamas lazima liwe na maumiv muda mfupi ulipita kafa mtu huko tel aviv anachofanya israel kwa sasa ni kubomoa majengo tu ili hamas waache kurusha roket hivyo vifaru tuliaminishwa vinauwezo wa kujirinda lakini hezbullah walichapa kama kawa
Usichukulie vita ya uhalisia sawa na vita ya Rambo anayeua Wavietnam mia mbili single handed alafu hachubuki hata kidole. Vita ya uhalisia ni kama mechi ya mpira, ukileta Manchester City icheze na Nachingwea FC usitegemee eti Man City kisa ni mabingwa watatawala 100% ya mchezo. Wanaweza fungwa hata goli moja ila wakafunga zaidi ya 10.

Israel hawezi shindwa vita na Hamas labda ukitumia mahaba badala ya uhalisia. Hamas anafyatua mamia ya roketi na kuua watu chini ya 10. Roketi zinazuiliwa na Iron Dome zaidi ya 90% wewe unashangilia less than 10% zilizopenya.

Hamas mwenyewe anashambulia akitokea sokoni, shuleni, hospitali, makazini. Sasa kama yuko makazini apigiwe wapi? Porini au. Wasiwasi wa Israel ni lawama, sio hao Hamas. Israel ikijitoa ufahamu na huruma kwa raia tutailaumu sana.

Hivyo vifaru bado tunakuja palepale kwenye mahaba. Nani kakwambia kuna kifaru duniani kiko immortal? Ukute unazungumzia kifaru kimoja tu cha Israel kilichopigwa na Hezbollah ile 2006. Kasome major tank losses kwenye battles kama Valley of Death, Valley of Tears, Battle of Kursk na Operations kama Barbarossa. Kuna battle mnapoteza vifaru zaidi ya 100 kwa siku na vita inaendelea
 
Hamas ni kundi dogo ila limeipa israel kipigo kikali sasa israel anaharibu majengo na kuuwa watu tu udhaifu wa israel umeonekana kwenye vita hii mpaka sasa wanasita kufanya ground battle na hamas
Ground battle hii utakua hatari Sana
Kila jesh linahofia wanajesh wake
 
Ni kweli fuatilia habari utagundua, halafu kwa nini unaita "dogo" Au jisomee hapo kwenye link
Hilo ni gazeti la Israel waliye kufa ni macommendor watatu tu toka vita vianze. Israel wanajeshi wake wangapi wamekufa mbona anaficha yani base zao zinapigwa na camp zao afu asife hata mmoja
Tazama wanavyo kimbia afu Israel anazui media wasichukue picture je wangewaruhusu ungeona mengi tu
😂
 
Hilo ni gazeti la Israel waliye kufa ni macommendor watatu tu toka vita vianze. Israel wanajeshi wake wangapi wamekufa mbona anaficha yani base zao zinapigwa na camp zao afu asife hata mmoja
Mwanzo ulisema hakuna aliyekufa kana kwamba uliemnukuu ni muongo nimekuwekea link usome, unakuja na porojo eti gazeti la Israel.
 
Usichukulie vita ya uhalisia sawa na vita ya Rambo anayeua Wavietnam mia mbili single handed alafu hachubuki hata kidole. Vita ya uhalisia ni kama mechi ya mpira, ukileta Manchester City icheze na Nachingwea FC usitegemee eti Man City kisa ni mabingwa watatawala 100% ya mchezo. Wanaweza fungwa hata goli moja ila wakafunga zaidi ya 10.

Israel hawezi shindwa vita na Hamas labda ukitumia mahaba badala ya uhalisia. Hamas anafyatua mamia ya roketi na kuua watu chini ya 10. Roketi zinazuiliwa na Iron Dome zaidi ya 90% wewe unashangilia less than 10% zilizopenya.

Hamas mwenyewe anashambulia akitokea sokoni, shuleni, hospitali, makazini. Sasa kama yuko makazini apigiwe wapi? Porini au. Wasiwasi wa Israel ni lawama, sio hao Hamas. Israel ikijitoa ufahamu na huruma kwa raia tutailaumu sana.

Hivyo vifaru bado tunakuja palepale kwenye mahaba. Nani kakwambia kuna kifaru duniani kiko immortal? Ukute unazungumzia kifaru kimoja tu cha Israel kilichopigwa na Hezbollah ile 2006. Kasome major tank losses kwenye battles kama Valley of Death, Valley of Tears, Battle of Kursk na Operations kama Barbarossa. Kuna battle mnapoteza vifaru zaidi ya 100 kwa siku na vita inaendelea
Duh kifaru kimoja
 
Yesu anakashifiwa mara nyingi hapa jf na waislamu, asie kashifiwa na waislamu ni Issa.
Waislamu wanamuheshimu sana Issa.
leta screenshot hata moja tuone Issa Yesu Bebeto na majina mengine ni majina tu so husiwe uko natabia za kukashifu imani za wengine si vizuri be smart mkubwa
 
Back
Top Bottom