passioner255 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 6,834 Reaction score 13,070 Nov 8, 2025 #1 Naona hamtaki kufanyia kazi sababu hasa ya maandamano mnawakamata watu wasiohusika na maandamano kama chadema na gwajima. Nk: Naona mnaandaa maandamano mengine
Naona hamtaki kufanyia kazi sababu hasa ya maandamano mnawakamata watu wasiohusika na maandamano kama chadema na gwajima. Nk: Naona mnaandaa maandamano mengine
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,197 Reaction score 8,476 Nov 8, 2025 #2 Polisi wengi wa sasa ni wale wa miaka ya 2000 adi 2010.... Wengi wao wakati huo walifeli form 4,ndo kimbilio lao lilikuwa upolisi au ualimi + ujeshi Adi hzo product zitoke kwenye system ndo tutapata mfumo mzuri
Polisi wengi wa sasa ni wale wa miaka ya 2000 adi 2010.... Wengi wao wakati huo walifeli form 4,ndo kimbilio lao lilikuwa upolisi au ualimi + ujeshi Adi hzo product zitoke kwenye system ndo tutapata mfumo mzuri
baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,706 Reaction score 18,172 Nov 8, 2025 #3 Kipindi serikali ingekaa mbali na kesi zozote zilizotekea kwenye huu uchaguzi maana uchaguzi una utata matokeo vurugu
Kipindi serikali ingekaa mbali na kesi zozote zilizotekea kwenye huu uchaguzi maana uchaguzi una utata matokeo vurugu
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,555 Nov 8, 2025 #4 It is never easy!
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 6,055 Reaction score 22,650 Nov 8, 2025 #5 Sikio la kufa halisikii dawa. Waache wajipalilie kuni kwa moto wa kuwapika wao wenyewe.
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,855 Reaction score 3,260 Nov 8, 2025 #6 Tutarajie ukatili na uovu kutoka Kwa watawala Kwa kulazimisha kutawala na kuheshimiwa Mauaji,utekaji, udikteta, matendo ya uovu na ufisadi wa kutisha vitazidi kuongezeka Kwa kasi
Tutarajie ukatili na uovu kutoka Kwa watawala Kwa kulazimisha kutawala na kuheshimiwa Mauaji,utekaji, udikteta, matendo ya uovu na ufisadi wa kutisha vitazidi kuongezeka Kwa kasi
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 11,848 Reaction score 26,650 Nov 8, 2025 #7 VIONGOZI WENGI WA HILI TAIFA NI WAPUMBAVU, POLICE NDIO VICHAA KABISA, WANAJESHI WAPUMBAVU.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,434 Reaction score 42,167 Nov 8, 2025 #8 Na polisi nao wanafanya kazi ya kuharakisha anguko la Samia kwa ufanisi mkubwa mno kiasi kwamba mwenyewe anaona wanamsaidia.
Na polisi nao wanafanya kazi ya kuharakisha anguko la Samia kwa ufanisi mkubwa mno kiasi kwamba mwenyewe anaona wanamsaidia.
jimama26 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 3,257 Reaction score 4,378 Nov 8, 2025 #9 Yani inasikitisha sana. Kila siku wanazidi kuchochea moto tu. Hawajifunzi, hawataki kusikia!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,487 Reaction score 195,290 Nov 23, 2025 #10 Muda huongea... Cc: Mahondaw