Naona Castle Lite wameshusha bei

Naona Castle Lite wameshusha bei

Hivi karibuni Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL), ilitangaza kwa mbwembwe wiki iliyopita kuwa Bia aina ya Castle Light ingeuzwa kwa Tshs.2,000 badala ya 2,500. Hata hivyo nimegundua kuwa Bar nyingi bado zinauza kinywaji husika kwa 2,500. Ukiwauliza wenye Bar unaambiwa distributors bado wana stock ya zamani. TBL hawakujua kiwango cha Bia hizo kilichopo sokoni?. Mbaya zaidi tangazo husika lilisema bei mpya (elekezi) ingeanza kesho yake. Huu ni uhuni sasa. Ngoja nihamie kwenye Serengeti ndogo sasa.
 
Balimi ndogo inakuhusu kamanda
 
Wakati Mods mna haraka sana ya kuunganisha hizi threads basi mtusaidie na kupata majibu kwa wahusika. Otherwise inaudhi....
 
Nimepata kiu ya klauri kafla jamani , na huku nilipo hakuna klauri kama hizo za home
 
Hivi karibuni Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL), ilitangaza kwa mbwembwe wiki iliyopita kuwa Bia aina ya Castle Light ingeuzwa kwa Tshs.2,000 badala ya 2,500. Hata hivyo nimegundua kuwa Bar nyingi bado zinauza kinywaji husika kwa 2,500. Ukiwauliza wenye Bar unaambiwa distributors bado wana stock ya zamani. TBL hawakujua kiwango cha Bia hizo kilichopo sokoni?. Mbaya zaidi tangazo husika lilisema bei mpya (elekezi) ingeanza kesho yake. Huu ni uhuni sasa. Ngoja nihamie kwenye Serengeti ndogo sasa.

thats busines mkuu, kama vile inapokuwa introduced 500 ya coin it takes time ya note kufutika kwenye circle. Muda huu niko misungwi castle lite buku 2. Sema ni 375 mls so zile za 440 & 330 mls zitapotea. Ndovu ndio bado za buku 2 zinapatikana kwa shida.
 
Ndovu nazo 1500 sasa
 
Kupungua huku kwa bei hakuna uhusiano wowote na ule mkwara aliochimba yule hacker, kuwa washushe bei la sivyo.......?
 
Back
Top Bottom