Ccm ni ileile tu wacha kudanganywa nduguKwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!
Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Chafya ni dalili ya uhai.
Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!
Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
Wenyewe ni majiziKwa leo angalau wabunge wa sisiyemu wameonesha uhai wao kwa kuikemea mijizi iliyo serikali kuu na mamlaka za serikali za mitaa ambayo imetafuna mabilioni ya fedha za wavuja jasho pasipo aibu.Hebu nendeni mbele zaidi kwa kuishauri serikali liwe jua au mvua hao wezi waende wakanyoe
Nimemuona Madelu amechanganyiikiwaMwizi haachi asili yake hata ukimkata mikono ataiba tu
Upo sahihi kabisaHilo bunge ni furahisha genge, kama kweli wanajiamini wafanye azimio la bunge kuwatoa baadhi ya mawaziri. Kinyume na hapo ni maigizo kama kawaida.
Wewe na wabunge wenu wote wapuuzi tu. Pesa yenu tutaila sana na hakuna wa kutufanya lolote.Kwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!
Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Chafya ni dalili ya uhai.
Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!
Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
Kidogo hizi siku 3 tumeona bunge kweli na siyo kusanyiko la matapeli tupuhii tuiitaje,?
mgonjwa ameacha kukoroma au ndio ameanza kukoroma?
Yaani ni aibu kubwa sana kwa hawa watuNimemuona Madelu amechanganyiikiwa
Bunge kweli? Kwa kipi walichokifanya?Kidogo hizi siku 3 tumeona bunge kweli na siyo kusanyiko la matapeli tupu
Ukweli kwa mara ya kwanza walisimama na wananchiBunge kweli? Kwa kipi walichokifanya?
Kukemea hakuondoi ufisadi wala hauwatishi mafisadi,wizi uko palepaleKwa leo angalau wabunge wa sisiyemu wameonesha uhai wao kwa kuikemea mijizi iliyo serikali kuu na mamlaka za serikali za mitaa ambayo imetafuna mabilioni ya fedha za wavuja jasho pasipo aibu.Hebu nendeni mbele zaidi kwa kuishauri serikali liwe jua au mvua hao wezi waende wakanyoe