Wanaongea bila kuchukua hatua, upuuzi harafu Viongozi wa Bunge wanatetea zaidi na kuilinda SerikaliKwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!
Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya!
Chafya ni dalili ya uhai.
Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali ambao kazi yao ni kuiba na kuiba na kuiba tena!
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan aliwaambia wajitathmini, lakini hadi sasa hatujaona mtendaji yeyote serikalini akijihudhuru au hata kuomba radhi tu kwa kile kilichotokea!
Wabunge naomba msiishie tu kutufurahisha wananchi wenu kwa maneno mazito mazito mnayoyasema huko, bali hakikisheni wahalifu wote wanachukuliwa hatua ili kuinusuru nchi yetu na hawa mchwa wanaokula kila kitu hadi vyuma wao wanakula tu!
U gotta be kiddingMi nimeona wakisinzia tu
Wapuuzi sana hasa hasa kale ka betina.Wanaongea bila kuchukua hatua, upuuzi harafu Viongozi wa Bunge wanatetea zaidi na kuilinda Serikali
Dr Dugange anatetea Wakurugenzi wa HalmashauriWanaongea bila kuchukua hatua, upuuzi harafu Viongozi wa Bunge wanatetea zaidi na kuilinda Serikali
Serious, angalia tena Boss...utamwona tuU gotta be kidding
Siyo kuchat na kuongea na simu Madam?Mi nimeona wakisinzia tu
Asijisahaulishe, bado hatujasahauDr Dugange anatetea Wakurugenzi wa Halmashauri
Nadhani bado ana Wenge π
hii tuiitaje,?Kwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo!