Naona BORA TUACHANE MAANA NAHISI NAKUBOA...

N.B: HUYU MWANAMKE SIO KWAMBA ANAFANYA KAZI YA BOSI,NO! ANAFANYA KAZI YAKE BINAFSI[KAZI ILE NI YAKE]. So amejiajiri.
 
Mshauri jamaa ako amtafutie huyo demu kazi
tofauti na kuuza bar, kwani nijuavyo mimi kwa mazingira ya bar ......mh..
ni chakula ya watu....
Ina maana watu wasifanye kazi za bar?? Sio kosa kufanya kazi bar, nadhani kitu cha kuhimi ni jinsi ya kuji-behave na kuzidi kuwa mwaminifu kwa mwenzi wake.
 
N.B: HUYU MWANAMKE SIO KWAMBA ANAFANYA KAZI YA BOSI,NO! ANAFANYA KAZI YAKE BINAFSI[KAZI ILE NI YAKE]. So amejiajiri.

Duuuh we shemeji hufai hata kidogo yaani ndo umeamua kuja kumrusha mdogo wangu humu!namfikishia habari
 
demu akishakuwa na kiburi jua anasehem nyingine ya kupumzikia au mapenzi kwa jamaa ilikuwa zamani-mwambie atafute mwingine
 
Duuuh we shemeji hufai hata kidogo yaani ndo umeamua kuja kumrusha mdogo wangu humu!namfikishia habari

aaa Yummy! Utamwambia kuwa nani kasema,make hapa ni mwendo wa Avatar
 

Sijui kama kuna aliye'note hilo hapo kwenye red,ajiachie kwanza amechelewa
 
Hili ni tatizo lingine la kulelewa...nahisi donation kubwa ya bugdet pale home inaletwa na dem..let her do her job!! AAche wivu bana!!
i
ilo linawezekana ndio maana jamaa anashindwa kuachia ngazi
 

Ukiifuatilia kwa makini kauli hiyo hapo juu inaonyesha Huyu 'demu' sijui kwa nini umeamua kumuita hivi, ameshaongea sana na mshkaji wako kuhusu nature ya kazi yake na pengine jamaa yako kwa makusudi au bahati mbaya kashindwa kumuelewa ndio maana kaamua kusema hivyo.
Sasa hii inamaanisha nini?..Kwa sababu kinachofanya huyu 'binti' afanye hii biashara ni pesa na pesa ndio maisha, basi mshkaji wako aamtafutie kazi nyingine ili asipate huo usumbufu!..Vinginevyo kama hili haliwezekani nadhani 'kauli' ya 'demu' ni thabiti 'kama anakuboa achana naye'!!. Kusema abadilike kwa nature ya hiyo kazi ni ngumu kidogo atafukuza wateja.
 
"sikia,hapa nipo kazini unajua,na mimi ni mwanamke natakiwa niongee na watu vizuri ili nifanye kazi yangu vizuri. Hata nikitongozwa we usiwe na noma coz siwezi kuwakubalia wote na niko kazini,

Hawezi kuwakubalia wote lakini kuna wachache anawakubalia. Hamna kitu hapo kaka SEPA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…