Naona attachment lakini wengine hawaioni MS Outlook

JosephNyaga

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
291
Reaction score
232
Kuna nyama moja ya Outlook hapa, email imetumwa kwenye conversation ya watu 8, ni mtu mmoja tu kati ya wale walioipokea email ndio ameweza kuona attachment ya word, wengine wote hawaioni. Tatizo linaweza kuwa ni nini hapo wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…