Haha unaongelea ya kutolea ! sasa hivi situmi kabisa, nakushawishi mpaka tukubaliane uje...si unajua tena makato...ukija tu ndio mtego wenyewe hauchomoki🤣
Mbona haukupitishwa na kuanza kutumika wakati wake?
Waliouratibu waliogopa Nini Hadi kipindi hicho?
Je, mama amepangua mangapi ya Magufuli , Hadi hili limshinde??
Jiulize...
Haha unaongelea ya kutolea ! sasa hivi situmi kabisa, nakushawishi mpaka tukubaliane uje...si unajua tena makato...ukija tu ndio mtego wenyewe hauchomoki🤣
Ukiomba elfu 50 nakupa hiyo hiyo 50 hayo makato tusiwanufaishe wanasiasa, tena nimeagiza msosi wa kutosha 🍗🍔🍕 wewe njoo tu, utapata yote na zaidi ! View attachment 1859855
Eeh kutuma bila ya kutolea bado serikali itakata tozo...halafu bado utapata hela pungufu sina nia ya kukuzoesha shida, wewe njoo tu , utarudi hata na uber..gharama zote juu yangu tuachane na hizi tozo za dhuluma🤸🤣