Kufa kufaana, lazima tuliangalie hili suala kwa jicho la fursa 🤣Hahahah kweli aisee hapo watakuja wao 🤣🤣🤣
Kweli kabisa muombe msamaha ATM maana ulimtenga na sasa unaenda kumtumia zaidiMpendwa ATM kadi,
Nachukua nafasi hii kukuomba msamaha kwa jinsi ambavyo nilikutenga, sikukujali wala kukuona wa maana!! Hakika nimeamini wewe ni rafiki wa kweli. Tusahau yalopita, tugange yajayo.
Wako mtiifu/Pendoni
MERCIFUL
Habari wakuu bila shaka leo ndio tarehe yenyewe yaani mabadiliko ya miamala kwenye mifuko ya simu yameanza kutumika...