Naomnba msaada DsTV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomnba msaada DsTV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Daniel Mjema, Oct 1, 2012.

 1. Daniel Mjema

  Daniel Mjema Verified User

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 23, 2007
  Messages: 70
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 25
  Wana JF
  Ninaomba msaada kwa yeyote anayefahamu. Nimelipia DsTV kwa M-Pesa lakini mpaka sasa haijawa activated, nifanyeje?Niliwahi kusoma kwenye tangazo lao moja kuwa isiporudi kuna code namba za kutuma sms. Please naomba msaada.
   
Loading...