dah jamaa alikuwa best yangu kinoma. pia walipatana sana na bro wangu. hapo BIG Y nilikuwa nakula kulia napita shuleni kwa juu kidogo ndo kwa kina Naomi. hiyo njia ya kulia kwa big y napandisha kidogo nakula kulia tena pale kanisani baada tu ya fence za kanisa kuna nyumba ya jamaa mmoja nakumbuka jina ni km ALFAYO sjui alikuwa anafanya kazi mount meru enzi zile ndo ilikuwa geto hapo hahaaa. nikija a town lazima nikutafute mkuu
Kama vile nafall in love na ur stories,unajua kuandika story nimezipenda ila ile ya sinza mamsap akiona unalo,na ile ilikuwa baada ya kutoka huku arusha eh?
Kama vile nafall in love na ur stories,unajua kuandika story nimezipenda ila ile ya sinza mamsap akiona unalo,na ile ilikuwa baada ya kutoka huku arusha eh?
Mkuu hiyo alama nyekundu umenivunjabavu ivi huwa mnatoa wapi maneno haya? story nsuri sana hususani nya ukweli ila imeharibikia pale ulipo mtoroka hukumueleza ukweli labda ndio sababu ya kutia kijelani kila wakosao bila ya tasimini
Aisee kweli ukiwa kijana ndo unaanza mapenzi kila atachokwambia demu au akija kwenu unaweka kwenye diary!! lol umenikumbusha mbali sana mkuu thanx kwa story