Kama ni essay Waweza kuandika kihusu rafiki yako mbuia unga alivyokuwa akikusumbua uumpe pesa akanunue unga na jinsi ulivyojitahidi kumshawishi ili aache kutumia unga, hatimaye ukampeleka sober house na huko alipatiwa huduma na hata sasa rafiki yako kawa mtu safi na kaachana na matumizi ya dawa za kulevya.
Huo ni mfano wa hadithi unayotakiwa uandike lakini iwe katika lugha ya Kiingereza .