Naombeni ushuhuda wenu hapa

momara

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
463
Reaction score
491
Habar wana jf

Kuna wimbi kubwa sana la wanawake kwa wanaume kutafuta wachumba ama wapenzi ktk social Media hasa hapa jf.
Binafsi nimekuwa nikijiuliza ni kweli wapo watu ambao wamefanikiwa kuwapata wenza wa maisha na wanaishi vyema kabisa?

Nipo hapa kujua kupitia shuhuda kama zipo ili nami pengine nianze Kumsaka wangu humu.

Nawakaribisha wote ambao mmejipatia wake au wanaume na mmeanzisha familia na mnaishi kwa amani kabisa.

Karibuni
 
Hiyo njia uliotumia kutafuta mchumba hap jf mbona kali mkuu ila funguka zaidi
 
Tangaza nia ndo utajua hivi hivi huwezi elewa hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…