Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Elham mohamed

Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
12
Reaction score
0
Mm nlichaguliwa chuo kikuu cha daresalam ila wakatutema kwa sbabu mbali ikabidi nfanye application upya through nacte na nmechaguliwa chuo kingine ila till now hcho chuo hakijatoa majina ytu kw maana hyo hakuna uthibitisho wwte km nmechaguliwa hapo ss mm nfanye nn na cku znaenda mno na masomo yameshaanza pia?
 
Endelea kuomba ushauri humu usiende chuo wala usiende nacte,maana brn mmetuchosha
 
Nenda chuoni kawaulize kama jina lako lipo wakupe admission letter.
Kama halipo nenda NACTE Waulize
 
Nenda karipoti chuo ndugu utakuta jina lako wakikukataa uniambie
 
Nenda karipoti chuo ndugu utakuta jina lako wakikukataa uniambie

Nlimtafta lecture wa kumuamn hapo chuo nkamwambie aniulzie hyo kitu still wakamwambia halijafika jna lang na nmefanya hvyo coz chuo na mkoa wangu ni mbali xna
 
mkuu, nakushauri nenda nacte, poteza nauli, wafate nacte. watakupa majibu yote.
 
Back
Top Bottom