W Wiseperson New Member Joined Jul 21, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Jul 26, 2015 #1 Wandugu naombeni ushauri. Nimefanikiwa kupata vijisent kidogo na nataka kuagizia kausafiri kutoka Japan,Je ni kampuni gani ya uhakika na kwa bei nafuu naweza kuitumia?
Wandugu naombeni ushauri. Nimefanikiwa kupata vijisent kidogo na nataka kuagizia kausafiri kutoka Japan,Je ni kampuni gani ya uhakika na kwa bei nafuu naweza kuitumia?
A ARISTOTLE79 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 451 Reaction score 139 Jul 26, 2015 #2 Ishu sio kampuni angalia kikokotoo cha TRA na CIF kabla hujaagiza. Be forward Naona wanaaminika.