Naombeni ushauri

Niikua naomba kujua DUCE ni shirika la umma au ni chuo cha serikali au sababu ,scale zipo tofauti

Duce ni university college yachuo kikuu cha dar es salaam na kimfumo vyuo vya serikali km UDSM,UDOM n.k ni mashirika ya umma.
Ndo maana hata magari yao yamesajiriwa km SU....
 
Mkuu fata taratibu utahamishiwa chek namba yako.watumoshi wote wawe wa tamisemi au mashirika ya umma lazima uwepo hazina
 
vipi kama mtu alipata tamisemi alafu hakuripoti, akija kupata baadae kwenye mashirika inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…