elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Kuna mpenzi wangu ambaye nampenda sana ambaye nina km mwaka1 hivi nipo nae anatabia poa tu lakini hivi karibuni kama 3week nikimpigia simu kama sa 5-6 nambiwa inatumika.
Then nikipiga zaid inakuwa haipatikani nikawa mpole kusuluisha yakaisha sasa tangu hapo anipigii simu hadi nimpigie, anitumii text had nimtumie.
Nahitaji ushari wenu nimfanye nini, nitumie njia gani naitaj furaha katika pendo langu.
Za siku miss strong

mmmh hii hapanaNenda kwake ghafla Mpokonye simu kaa nayo.
mmmh hii hapana
Nipo mkuu hujambo?Upo mrembo?
Nipo mkuu hujambo?
Mmmh! DHL wahusike basiNakutafuta...nna zawadi yako
mmmh hii hapana
Kuna njia nyingi nzuri na sahihi ambazo unaweza kuzitumia kwa mtu na kumfanya akueleze ukweli au ajifeel guilt kwa anachokufanyia kama ni kibaya lakini sio kutumia nguvu na ubabe .Na pia kila mtu ana uhuru na simu yake labda kuna makubaliano mmewekeana kuhusus simu. lakini kama sio noo mkuu kumpokonya simu sio suluhuHapana kwanini??