BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Mawazo ya nini binti....wanaume wapo wengi sana
Maumivu yapo yape siku chache tu maisha yako yatasonga.ni kweli na asante nmeamua ntakaa mwenyew sintokufa japokuwa inaumiza
aaaiiisee...sasa tufanyeje??hebu lete nr nimpigie huenda kakublock..
sasa ni hivi,usitanguliZe mawazo hasi maybe alikuwa bar anamuita muhudumu..
Mawazo ya nini binti....wanaume wapo wengi sana
mi ni mgeni lakin nina mpenzi wang wa kiume, tuko mikoa miwili tofauti nampenda sana na sijawai kuwaza kumsaliti lakin nimempigia simu usikuu huu kapokea bila kujijua nkawa namsikia anamwita mwanamke aliye naye karibu aje na kwa sasa kazima simu kabisa ila kumpenda nampenda lakin naogopa kushare, naogopa ukimwi , jamn nifanyaje hapa nilipo siwez hata kulala na mawazo sana
im sorry bt not looking