mi ni mgeni lakin nina mpenzi wang wa kiume, tuko mikoa miwili tofauti nampenda sana na sijawai kuwaza kumsaliti lakin nimempigia simu usikuu huu kapokea bila kujijua nkawa namsikia anamwita mwanamke aliye naye karibu aje na kwa sasa kazima simu kabisa ila kumpenda nampenda lakin naogopa kushare, naogopa ukimwi , jamn nifanyaje hapa nilipo siwez hata kulala na mawazo sana