Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Electronian

Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Mimi nikijana nilie maliza elimu ya kidato cha nne (2012), Na kupata ufaulu wa Div. 4 ya 30 katika michipuo ya sayansi. Alama nilizopata nikama ifuatavyo hapo chini.
Physics - D
Chemistry - D
Biology - D
Kiswahili - D
E/D/islamic - D
Geography - F
English - F
Basic - math - F
Civics - F
History - F
Lakin ata hivyo nmefanikiwa kusomea kozi za computer (comp. course) upande wa ofisi.
Lakin hivi sasa maisha ya mezid kuwa magumu kiupande wangu kwakuwa sina ajira yoyote ya kujishuhulisha.
Sasa naombeni ushauli nfanyenini ili namie niweze kujiendeleza kitaaluma. au kama hizo alama nilizopata je naweza nikajiunga na chuo gan.
Naombe ushauri ndugu zangu.
 
Rudia mtihani ili upate alama za kukuwezesha kuendelea na A-level au kujiunga na chuo chochote make nahc hata umri bado unakuruhusu
 
koz za ngaz ya chet zpo nying sana ndg.. na alama znaruhusu jitahid usome kupiga A level nayo ni bahat nasibu mwsho wa siku muda waenda. Jtahd utafaniksha..
 
hapo ulipo hujafeli, watu weng hawajui kua masomo ya sayans ni alumas, hvo kwakuwa umeyafaulu kwa kupata alama D, tafuta chuo usome labaratory au nursing. ajira haraka sana
 
Mathematics una nini?? mbona hujaisea??
 
Back
Top Bottom