Jamani, Mimi ni Mwl wa Level ya Degree, nina diploma ya Elimu pia kwani nilijiendeleza baada ya kumaliza diploma ya Ualimu, Kwa sasa nina Digrii ya Ualimu katika Elimu ya Awali, Kwa kweli huku Sekondari nilipo kwa sasa naona Elimu yangu ya Awali siitumii kabisa yani inakufa bure, Nishaurini jamani nifanyeje?