Mwanamke wake wa kwanza, ndio mke wake! Alizingua kuanza mahusiano mengine ambayo hakuwa committed anamuonea huruma mwenye mtoto, anamuonea huruma aliyeishi naye miaka mi3 deep down anawataka wote! Yani kachanganyikiwa!Hajaoa bado hapo lakini ila huyo aliezaa nae ndie mke wake halali ila tamaa za huyo mwanamke mwingine ambae kiuhalisia amepangwa awe mchepuko wake yeye analazimisha amfanye awe mke wake, mwelekezeni vizuri huyu kijana kabla hajapotea kusikojulikana maana mtaka 2 na 7 hupatwa na mingi misiba, wewe unatakaje 2 halafu hapo hapo unataka 7?
Huku alipomwaga kukajibu ndio alikokusudiwa kuwepo miaka 3 sio Kesi watu wanaenda mpaka miaka 7 hadi 8 na mtu anajivua anaenda kwa mwingine nini miaka 3?Nimemuelewa, yeye achekeche tu kwanza bwana kwanini alienda kugawa mbegu na anafaham kuna mtu kampotezea muda miaka mi3
Damu ni NZITO kuliko MANII, mtoto sio nguoMwanamke wake wa kwanza, ndio mke wake! Alizingua kuanza mahusiano mengine ambayo hakuwa committed anamuonea huruma mwenye mtoto, anamuonea huruma aliyeishi naye miaka mi3 deep down anawataka wote! Yani kachanganyikiwa!
Asifanye maamuzi kwa sasa atulie tu..
Wanaoa mpaka wa miezi miwili! Ila kuna siku wanaume mtakutwa na jambo endeeleni na huu mchezo.. ntapiga kipapai mtoto wa mtu😂😂Huku alipomwaga kukajibu ndio alikokusudiwa kuwepo miaka 3 sio Kesi watu wanaenda mpaka miaka 7 hadi 8 na mtu anajivua anaenda kwa mwingine nini miaka 3?
Mtoto sio andazi kwamba atakula litaisha! Dahh sema awe makini sio unamchukua baby mama kumbe ana husiano lake huko nje atazirai! Mara mtoto sio wake🙆🏽♀️Damu ni NZITO kuliko MANII, mtoto sio nguo
Hahaha kipapai tena ili iweje tena hicho kipapai kinakuaje labda?Wanaoa mpaka wa miezi miwili! Ila kuna siku wanaume mtakutwa na jambo endeeleni na huu mchezo.. ntapiga kipapai mtoto wa mtu😂😂
Jaribu uone kinakuwaje😁Hahaha kipapai tena ili iweje tena hicho kipapai kinakuaje labda?
Punguza kumtisha si ana uhakika yeye ndie aliesababisha sasa uoga wa nini tena hapo? Aoe aliemtia mimba apunguze idadi ya single mother au alitumwa amtie mimba ili amfanye awe single mother km hakua na malengo ya kumuoa?Mtoto sio andazi kwamba atakula litaisha! Dahh sema awe makini sio unamchukua baby mama kumbe ana husiano lake huko nje atazirai! Mara mtoto sio wake🙆🏽♀️
Wewe siwezi kukujaribu hapo nimeshafeliJaribu uone kinakuwaje😁
Amuoe tuu..Punguza kumtisha si ana uhakika yeye ndie aliesababisha sasa uoga wa nini tena hapo? Aoe aliemtia mimba apunguze idadi ya single mother au alitumwa amtie mimba ili amfanye awe single mother km hakua na malengo ya kumuoa?
Ndio mtoto wa watu asije kuishia kufanywa single mother huku kuna li-opportunist limoja linakula matunda ya mti aliouhangakia na kuukatikia mauno kwa tabu ya maumivu ya mgongo muda wa miezi 9Amuoe tuu..
Shida ni kupenda matako hujamwelewa tu aliposema kwamba huyo mwanamke ana akili ya maisha na huyu niliemtia mbami hana future, hio ni CodeKwakua bado una nafasi, oa mwanamke mwenye mtoto wako usije ukajutia badae maana hakuna mwanamke anapenda kuona mume wake ana hudumia mtoto wa nje. Hata ukisema umchukue mtoto ukae nae bado utakua hujamaliza shida.
Maugomvi hayataisha ndani, mshukuru Mungu kwakua bado una nafasi ya kuyaepuka.
Wajua nilivo kilaza miyee msaada wa samari pulllliiiiiiiizzzz!
Japo sikuwa na malengo naye kwa bahati mbaya au nzuri akashika ujauzito, ila kipindi hicho hicho nikarudiana na mpenzi wangu ambaye ninampango wa kumuoa,kutokana na umri kuwa umesogea na sina mtoto nikakubali uyo mwanamke azae ili nimtunze mtoto atakayezaliwa.