Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25
Nina mdogo wangu ambaye yupo chini yangu yeye ana umri wa miaka 22, huyu mdogo wangu alikuja kupewa mwanamke mwezi wa 12 alipata mimba uko wakamletea mke nyumbani, Yaani tayari ana mke.

Kuoa kwa mdogo wangu imekuwa kama adhabu kwangu kila anaye fika nyumbani nikuniweka kikaoni na kuishauri nichukue mke kitu ambacho katika akili yangu bado sijafikiria kabisa kuchukua mke

Kama kuna mtu yeyote ambaye aliwahi kupitia situation hii naomba anipe mbinu aliwezaje kuhimili hali hii

Maana kwa jinsi siku zinavyo zidi kwenda naona kabisa nitakimbia kijijini kwetu kukimbia aibu
 
tatizo linaanzia hapa

na hapa

na hapa

tatizo linaanzia hapa

na hapa

na hapa

package
 
Sasa aibu ya nini hapo mwenetu? Mbona mimi wadogo zangu wameoa na sina shida hata kidogo... fanya hivi
1. Hama nyumbani acha kuwa kama paka
2. Tafuta maisha
 
tatizo linaanzia hapa

na hapa

na hapa

Unasagia kunguni🤣
 
tatizo linaanzia hapa

na hapa

na hapa

daaah
 
Hemu jarbu kukua kijana maisha ya saivi sio ya kujali story za raia iyo chukulia tu kama umbea wa wanawake bila kujali anae ropoka ropoka
 
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25
Nina mdogo wangu ambaye yupo chini yangu yeye ana umri wa miaka 22
huyu mdogo wangu alikuja kupewa mwanamke mwezi wa 12 alipana mimba uko wakamletea mke nyumbani
Yaani tayari ana mke
Kuoa kwa mdogo wangu imekuwa kama adhabu kwangu kila anaye fika nyumbani nikuniweka kikaoni na kuishauri nichukue mke kitu ambacho katika akili yangu bado sijafikiria kabisa kuchukua mke

Kama kuna mtu yeyote ambaye aliwahi kupitia situation hii naomba anipe mbinu aliwezaje kuhimili hali hii

Maana kwa jinsi siku zinavyo zidi kwenda naona kabisa nitakimbia kijijini kwetu kukimbia aibu
Mnaishi kwenye nyumba ya familia au?
 
tatizo linaanzia hapa

na hapa

na hapa

🤣🤣🤣
 
tatizo linaanzia hapa

na hapa

na hapa

Kumbe ndo huyu ptuuu
 
Back
Top Bottom