Kaeni muyajenge na Baba wa mtoto,nimeachana na mpenz wangu lakini nilifahamika kwao kwa sasa nipo shule nimeondoka bila kuwaaga wazazi wake na nilishawazoesha nikiondok nawaambia nikirudi nawaambia nimerudi sasa nifanyeje jamani mama ake ananitafutag ata sasa kwa sim japo sina mahusiano na mwanae japo mwanae nina mawasiliano nae sio ya kimapenzi tunachati kawaida tu tuna mtoto mmoja. had leo nipo shule mama ake ajui kama nimeondok kila nikitaka kumpigia cim nasita kumtaarif kama nimeondok
Namna yako ya uandishi inatia kinyaa hata kukushauri aiseeee
Mkuu si amesema bado yuko shuleNamna yako ya uandishi inatia kinyaa hata kukushauri aiseeee
Ohhhhhh.....Mkuu si amesema bado yuko shule
Comrade, hawa wanafunzi wanatusumbua sana humu. Maana wanachanganya mapenzi na shule..Amigo okoa jahazi baharia wa meli amepatwa na taharuki.
Hahaha Hilo ndo la muhimuOhhhhhh.....
Basi aachane na mapenzi, asome kwanza...[emoji23][emoji23]
"Isijekuwa wewe ndiwe uko naye hapo chumbani mwako mida hii, tena umemkaba kisawasawa hadi anashindwa kupumua afu unang'ata huku unapuliza hapa kama vile hauko naye" hivi naota au naakisi ukweli? hahaaa.....