Sist..! Buku tano ndio umeanzishia uzi, kwa mwenye kuona hapo naweza waza hilo.
Some times wanaume huwa tuna jishtukia kwa mambo madogo, hasa ata ukute mwana kaishiwa ata vocha kaona noma kuomba vocha, then ni hela ndogo mno.
Ukitaka ishu kama hizo ziishe, ishi naye kama mwenza wako, inaonekana kuna mambo mengi hata madogo una judge katika matumizi, au aki request kitu, itapitia mfululizo wa maswali kama ya usaili. Suluhu ya hilo, panga naye, kama kweli upendo upo 100%, fanya hiki
Kipato chako, kiweke mezani, kigawanye, kuwa asimilia iii itaenda hapa, itengeni, hiii itaenda huku itenge, then hii ya matumizi yetu binafsi itenge. Hutaona hilo likitokea, labda mwana awe kichaaaa