indundidotcom
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 235
- 231
Nilihitimu degree 2015 art.. Matokeo yangu ya kidato cha nne sikufaulu masomo vyema mawili , hesabu na historia... Baada ya hali ya ajira awamu hii kuwa kama tumesuswa hivi nataka nirudie mitihani hiyo then nisome na masomo ya chemistry na physics ili huko mbele nibadirishe fani, najiuliza yafuatayo ili niweze kufanya mtihani wa private candidate je naruhusiwa kurejea matokeo yangu ya kidato cha pili ya nyuma ili kuomba namba ya kidato cha nne ya kufanyia tena mitihani? ...AU Napaswa kusoma tena upya na kufanya mtihani wa QT Ndo ntapata vigezo vya kupata namba ya PC? Nisaidien hapa please