Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,790
Reaction score
6,995
Juzi nilikuwa natoka sehemu kwenye mishe zangu ,ghafla nikamkuta shemu wangu stand anaposubiriaga usafiri akitoka chuo nikampa lifti kuelekea home nikachepuka sehem kupata 1,2.

Ila sehemu yenyewe kuna watoto wakalitu.
Mimi nikawa nawatazama kiujanjaujanja ili shem asinishtukie kumbe alishasoma mchezowangu pale.
Ghafla nikaona mtu hachangamki na amekosaraha nikamuuliza inakuwaje,akajibu poatu, aah nikajua labda namchelewesha kurudi home.
Nikamuuliza tena unaongeza kinywaji akajibu kingereza no, nikamwambia bas twenzetu home wife,nilimtania hivyo kidodo.
Akabeba pochilake tukaanza safari njiani naona kama kajiinamia namuuliza vip shem unaumwa? akajibu hapana.

Bas tukaenda mbakahome badae naona msj ananilaumu eti anajiskia vibaya mbaka sasa anasema kitendo nilichofanya hajakipenda,eti nilikuwa nikiwaangalia wana wake wengine wakati yeye yupo hadi akawaanaona aibu daah.
Roho ikafanya paaaaa..nikasema duuh.

Sijamjibu naiangalia tuu hii msj nawaza nimjibu nini, in other way around naona kama ananitia majaribu.
Naombeni ushauri mana naweza nika mfyatua huyu simuelewi kabisa.
 
Mweshim shemeji yako wewe acha laana zako kitu chenyewe kinasura mbaya nashangaa mnakipendea nini
 
Daah! Kwakuwa kusudi la jukwaa ni kubadishana uzoefu Ngoja tisumbuke kutatua Jaribu lako japo lakivulana Sana!
 
Juzi nilikuwa natoka sehemu kwenye mishe zangu ,ghafla nikamkuta shemu wangu stand anaposubiriaga usafiri akitoka chuo nikampa lifti kuelekea home nikachepuka sehem kupata 1,2.

Ila sehemu yenyewe kuna watoto wakalitu.
Mimi nikawa nawatazama kiujanjaujanja ili shem asinishtukie kumbe alishasoma mchezowangu pale.
Ghafla nikaona mtu hachangamki na amekosaraha nikamuuliza inakuwaje,akajibu poatu, aah nikajua labda namchelewesha kurudi home.
Nikamuuliza tena unaongeza kinywaji akajibu kingereza no, nikamwambia bas twenzetu home wife,nilimtania hivyo kidodo.
Akabeba pochilake tukaanza safari njiani naona kama kajiinamia namuuliza vip shem unaumwa? akajibu hapana.

Bas tukaenda mbakahome badae naona msj ananilaumu eti anajiskia vibaya mbaka sasa anasema kitendo nilichofanya hajakipenda,eti nilikuwa nikiwaangalia wana wake wengine wakati yeye yupo hadi akawaanaona aibu daah.
Roho ikafanya paaaaa..nikasema duuh.

Sijamjibu naiangalia tuu hii msj nawaza nimjibu nini, in other way around naona kama ananitia majaribu.
Naombeni ushauri mana naweza nika mfyatua huyu simuelewi kabisa.
achana nae
 
Acha mawazo ya hovyohovyo ndugu. Binadamu tumeumbwa kwa asili ya uchoyo, ubinafsi, umimi nk. Hivyo basi, mlivyokuwa pamoja na shemejio, kama binadamu tena mwanamke, alipenda umjali, umsikilize na umuangalie kama siyo kuongea na yeye tu. Ulifanya kosa kubwa kuwaangalia wanawake wengine kwa vijimacho vya wizi kama askari analenga chupa ya soda umbali wa nusu kilometa.
Sasa basi, siku ingine act like a real man. Concetrate kwa uliye naye ili ajiamini hata kama si mkeo. Hebu fikiria kama pembeni kungekuwa na wanaume halafu shemejio awe anatembeza macho kwao kama kunguru mwizi! Ungemfikiriaje? Ungeanza... Oooh shemeji malaya... Sijui nimwambie ndugu yangu?... Siku ingine uwe na adabu mkuu.
 
Kiukweli usimle ni ushamba utaonekana jogoo sijui la wapi kwa mana hata kijijini wanaheshimu mashemeji.
fyatua wengine huyo potezea mwandikie hivi "my shem pole siku ingine sintawaangalia ukiwepo ili nisikukere" basi potezea ila akijigonga mpe ukweli tu siwezi kukula nakuheshimu sana hata kama unataka wanawake wapo wengi shida zanini starehe za siku moja tu.
akizidi kuleta mazoea mblock kwenye simu yako.
usimpe lift tena wala outings.
tafuta wako mtoe wako out.
sio wawatu unahimarisha shamba la mtu mwingine.
 
Sio mawazo ya hivyo mkuu, minina rohopia na majaribu hutokea ndio mana nikaomba ushauri mana mtotomwenyewe hata nikikuonyesha pichayake anaweza kutoa miwani umwangalie vizuri nikifaa haswa ila poa ngona niwe na adabu nione itakuwaje.
 
Kiukweli usimle ni ushamba utaonekana jogoo sijui la wapi kwa mana hata kijijini wanaheshimu mashemeji.
fyatua wengine huyo potezea mwandikie hivi "my shem pole siku ingine sintawaangalia ukiwepo ili nisikukere" basi potezea ila akijigonga mpe ukweli tu siwezi kukula nakuheshimu sana hata kama unataka wanawake wapo wengi shida zanini starehe za siku moja tu.
akizidi kuleta mazoea mblock kwenye simu yako.
usimpe lift tena wala outings.
tafuta wako mtoe wako out.
sio wawatu unahimarisha shamba la mtu mwingine.
Mkuu tatizo hapo inaweza kuwa ups downs, mimi ndio anaweza kuniona mshamba niendelee kumsoma msoma kwanza mana tangu simuile haniangalii usoni mana sinanibu sms yake mbaka leo.

Tunakaa nyumba 1 ananikwepa kwepatu, na kwa action zake namuona kabisa she need my attention.
 
Back
Top Bottom