katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,756
humu nitakuwa si comment kwa maana sasa unauliza kitu majibu unayo mf. Hama hapo hamia kwingine .Mkuu tatizo hapo inaweza kuwa ups downs, mimi ndio anaweza kuniona mshamba niendelee kumsoma msoma kwanza mana tangu simuile haniangalii usoni mana sinanibu sms yake mbaka leo.
Tunakaa nyumba 1 ananikwepa kwepatu, na kwa action zake namuona kabisa she need my attention.
Akikukwepa haijalishi maana sio shida yako tatu nne mwambie ukweli kwani ukilala naye ndio utakuwa umemuongezea nini ?