mashakasalum
New Member
- Jul 13, 2018
- 1
- 0
Mimi naitwa Mashaka salum nipo songea-Ruvuma Nina umri wa miaka 24 nina elimu ya kidato cha sita,nilihitimu mwaka 2015 kwa mchepuo wa pcb nikapata ufaulu wa chemistry-d,biology-c,physics-d kulingana na vigezo vipya niwe na C mbili nimeshindwa kujiunga na chuo kikuu tangu mwaka 2016 ikabidi niingie mtaani nitafte pesa nipate angalau diploma ya afya au ualimu lakini sijafanikiwa hapa nilipo sina wazazi wote wawili na uthibitisho wa death certificates ninao,ninaombeni nisaidieni mawazo nifuate njia zipi nipate udhamini angalau hata kwa mkataba wa mtu binafsi,mashirika,taasisi ama serikali ili nisome?namba zangu 0743841255