Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

mathmartboy

Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Naombeni ushaur nduguzangu ,namtaji Wa shling million moja na lakin tano .eti nifanye biashara gani mjini hapa mm nipo dar
 
Nakushauri fanya network marketing na Edmark International inalipa vizuri sana na hauhitaji pesa zote hizo ni456,000 tu karibu kwa maelezo zaidi 0769643939
 
Acha kumpotosha mwenzako,hivi nyie watu hamna hata huruma yaani mwenzako ana hicho kiasi kidogo cha pesa nacho mnataka mumfilisi ili nyie muongeze points zenu za wateja wapya.
 
Badala ya kumshauri unatapatapa tu ni uhamuzi wake kuamua lipi linamfaa sio kila ushauri ataubeba na hata hivyo huo ni mtazamo wako tu,nimefaidika ndio mana nikamshirikisha.
 
Back
Top Bottom