Naombeni ushauri wenu

Naombeni ushauri wenu

LEVIAN

New Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Nilikuwa na mchumba wangu wa siku nyingi,tukajuana tabia,tukaridhiana akanitambulisha kwao nikamtambulisha kwetu wazazi wetu waliridhia na kutuombea mema ili tujipange tuje tufunge ndoa. baadae tukaja kupishana na huyu mchumba wangu akanitamkia kuwa niwe huru nimtafute tu msichana mwingine.

wazazi wake wakadokezwa taflani ya mahusiano yetu wakamkalisha chini na kumwomba afikirie kabla ya kuchukua maamuzi.akasema nabaki na msimamo wangu. baada ya miezi kama miwili nikampata dada mmoja nikaingia nae kweny mahusiano na bahati nzuri hyu msichana akapata ujauzito bila ya kufunga ndoa.

Baadae yule msichana wa kwanza akaja kuniomba msamaha na ndugu zake wakanisihi sana kuwa tusiachane.kwa kweli nipata wakati mgumu sana kimawazo na ukweli msichana anabusara, hekima,mpole,na mwaminifu sana lakini nikasema itakuwaje na huyu msichana mwenye mimba?kabla sijafanya maamuzi nikawashirikisha wazazi wang ili wanipe ushauri.wazazi wakaniuliza mm mwenyewe nimemwona yupi ni bora zaidi ya hawa wawili? nikawajibu ni huyu wa kwanza hata kama tulipishana.nikapata wakati mgumu sana kumweleza dada mwenye ujauzito ambae baadae akajakujifungua mtoto wa kike.

Ili nimweke wazi msimamo wangu. ingawa nilijua nimemkosea sana.kama binadamu nilikiri makosa yangu kwake.nilipomweleza kwa mara ya kwanza akakataa akasema hataki kusikia hilo.kwa kweli iliniuma sana roho ya huruma ilinijia hasa baada ya kujua yeye hana makosa ingawa anamapungufu yake ingawa si sawa na ya yule wa kwanza ingawa wote wana mapungufu yao ya kibinadamu.

Lakini ndugu zangu ukweli toka nafsini mwangu nahitaji na nampenda zaidi na nataka kumwoa mwanamke yule wa kwanza kwani nilikaa nae nikamweleza kila kitu kilichotokea akasema yaliyopita si ndwele tugange yajao.kwa kuwa huyu mwenye mtoto alikuwa yupo nyumbani ili kuangalia ustawi wa mtoto sasa nataka nimrudishe kwao ili nitimize ndoto zangu za kuwa na mke wa nafsi yangu.mwanamke mwenye mtoto hataki kurudi nyumbani.nifanyeje?

Naombeni mawzo yenu yenye hekima ili amani ipatikane kwake na kwangu pia. WA SALAAM NDUGU ZANGU.

email_open_log_pic.php
 
kwa sababu hawataki both kuondoka,wamege wote mpaka yule atakaeona hawezi ndoa ya mitala atajiondoa mwenyewe
 
unajua ndio maana wanawashauri watu kuwa ukitoka kwenye uhusiano usiingie kwenye mwengine haraka...sasa wewe ndani ya miezi miwili ulishakamatia dada mwengine na ukatia mimba kabisa loh!!

sasa hapa chakufanya mwanawane nikukubali umebugi men sasa jaribu iwezekanavyo uishi na huyo dada.
 
unajua ndio maana wanawashauri watu kuwa ukitoka kwenye uhusiano usiingie kwenye mwengine haraka...sasa wewe ndani ya miezi miwili ulishakamatia dada mwengine na ukatia mimba kabisa loh!!

sasa hapa chakufanya mwanawane nikukubali umebugi men sasa jaribu iwezekanavyo uishi na huyo dada.


halafu anacheza peku!
 
usijitafutie laana isiyo na sababu kwa tamaa zako,huyo uliezaa au mtoto kakukosea nn?yaan upo radhi damu yako ambayo ni mtoto umtelekeze kisa mwanamke una akiri ww? umrudishe kwao wapi?hapo ulipomuweka ndio kwake maana ni kwa mtoto au mtoto kwake wapi ulijua ku*t*om**ba ili wakakulelee wazazi wake? ww na huyo mpenzi wako ndo mtafute pa kuishi mtoto na mama waache hapo.kwan umemuaribia maisha tayar mwache hapo na matumizi uwe unampa.unamakosa sana na ukimfukuza nakuombea laana kwa Mungu usipate amani kamwe maishan mwako au huyo kipenzi chako kisikuzalie kabisa stupid.kuchezea tu watoto wa watu eti unasikia huruma huruma gani?nyambafuuuuuu
 
nawahurumia sana wanawake wenye wanaume bendera fuata upepo wapo wapo tu hawana maamuzi hawajui nini wanataka kutwa kuharibu
ila wakati mwingine raha sana kuwa na njemba kama hili.....
wewe kazi yako ni kuliamrisha tu linakutii, lol!
 
we bana ukimwacha huyu mwenye mtoto mungu ata kulaan kabisa, huu ni mzigo wk 2, huyu aliye hate previouz achana naye of coz sio bahat yako. waswahil wanasema bora hamsin nzima kuliko mia mbovu.
 
ila wakati mwingine raha sana kuwa na njemba kama hili.....
wewe kazi yako ni kuliamrisha tu linakutii, lol!


teh teh FP inaelekea una kauzoefu nao lol
 
Last edited by a moderator:
Eti nawewe ni mwanaume, acha kutuaibisha wewe kwa kuonyesha upeo mdogo wa kufanya maamuzi, yaani wewe unaona bora mtoto wako ateseke kisa hilo kulumbemmbe lako lisaliti? Wewe si umetwambia alikukataa sasa leo yamemsibu yepi hadi arudi kwako mkukumkuku au tayari kayavagaa anataka mje mshee. Kwani kilichomkimbiza mwanzo nini? Huyo hakufai ni hatari nakuambia utateseka maisha yako yote acha upuuzi. Jiulize vipi mama yako angekataliwa hivyo na baba yako, acha kuwanyanyasa wanawake p...........vu.
 
humtak kivp wakat unalalanae hukujua kama haumtak acha ukuda huyo ndo wako wa maisha
 
.... baadae tukaja kupishana na huyu mchumba wangu akanitamkia kuwa niwe huru nimtafute tu msichana mwingine.wazazi wake wakadokezwa taflani ya mahusiano yetu wakamkalisha chini na kumwomba afikirie kabla ya kuchukua maamuzi.akasema nabaki na msimamo wangu.
email_open_log_pic.php
Hapo nilibold, nawaza kipuuzi tu,
  • Mwenzako alionyesha msimamo kwa maamuzi aliyoyafanya hata kama hayakuwa sahihi, iweje wewe unayetegemewa kuwa baba wa familia ukakosa msimamo na kuyumbishwa kirahisi hivi?
  • Utaweza kweli kuilinda na kuitunza familia yako kwa matendo kama haya?
  • Ukimkubali tena na yeye akaja kupata mwingine akaamua kukumwaga, utafanyaje?
  • Maisha ya mwanao, umeyafikiria?
  • Huyo mwanamke uliyempa mimba na kumzalisha akaolewe na nani?
  • Uliharakisha nini kwenda kumpata mwingine?
Nina mashaka (ingawa sipendi iwe hivyo) kuwa huenda wewe ndo wale baadhi ya wanaume ambao wakisha oa na kuishi na wake zao, hawana la kusema, wanaburuzwa kama mazoba.

Mwenzako alipoulizwa na wazazi wake alisema anabakia na msimamo wake, wewe je? Tafakari, chukua hatua!
 
Kama hana matatizo na huyu bora ukae mlee mwanenu..shit has already happened..yule mwanzo alikuacha bira sababu ya msingi unafikiri nn hawezi kujkuacha tena?huenda anakurudia ww sababu kule alikokuwa kashaalibu yaani kakosa vyote..so option ni ww.achana nae angalia ulichonacho kwa sasa na yule mwanamke hana umuimu kama mwanao.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForu
 
Inavyoonekana ndugu yangu ni stress za mapenzi tu zilikufanya hadi ukaenda kuangukia usipopenda, ila sasa si ungetumia hata zana jamani?cha kufanya ni kumlea dogo tu, na inavyoonekana hata mama mwenye mtoto akikomaa kubaki wewe utakuja kutoka nje ya ndoa tu, kwani sio chaguo lak😵ngea na mama mtoto kwa ustaharabu anaweza kukuelewa. ila ujue unavyochafua wa wenzako na wako watakuja fanyiwa vivyo hivyo:confused3:
 
Back
Top Bottom