Kwa Tanzania hakuna uraia pacha ni labda uukane uraia wa hapa au uendele nao huku ukiwa na kibali cha mkaazi wa kudumu.
Unapo ao au kuolewa na mtu kutoka nje maana yake, Unaweza pata permanent residence( Ukaazi wa kudumu) na ukipata ukaazi wa kudumu baada ya miaka mi 5 au 10 unaweza omba kuwa raia wa nchi husika inategemea na nchi yenyewe, lakini pia unaweza ishi bila kuwa raia wa hiyo nchi kikubwa una ukaazi wa kudumu tu.