Hiki kitu knasumbua xana akili yangu wakubwa naomba munipe ushauri nn nifanye. Siku moja alikuja rafiki angu na mwanamke akanitambulsha kuwa huyu ni mpnz wangu pasipo kujua yule mwanamke ametambulshwa. Tulipga stor hyo siku mpaka muda wakaondo, siku moja natoka darasani nilikutana na yule mwanamke akaniomba namba yangu na mimi sikusita nikampa kwani niliamin kua n shemeji angu, siku mbili tatu zikapta 2kanza kuchat nikiwa na mwita shemu, yule mdada akaniulza shemeji aka kwa nani nikamjibu si fulani, akawa nashangaa na akanambia yule ni best angu kama ww ulivyo me nikamini kwa sababu najua jamaa yangu anapenda sana kujisifia kua huyu mwanamke ni wangu na kilicho nifanya niamini zaid nilitambulshwa pasipo yule mwanamke kujua kua ametambulshwa kwng. Basi siku zikazid kwenda na tukazid kuendelea kuchart na kuonana stor sana. Siku moja katika kupiga stor tukajikuta tayar kila mtu ana hisia za mapenzi kwa mwenzie, basi kwa mara ya kwanza 2kasex kwanzia hapo out tunatoka sana mapenzi sana siku zilvyo zidi kwenda nikagundua kuwa anatoka na rafki ang aliye nambia ni best angu kama wewe, nataka nimwache huyu mwanamke nashndwa. Naombeni ushauri nifanye nini ili nimpotezee kabisa huyu mwanamke.